The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
zama za kuongoza nchi kijanjajanja zimekwisha huwezi kukuza mpira wa nchi kwa serikali kumlipia mwalimu wa kigeni ni mara mia ya mkapa aliejenga uwanja wa taifa ameacha legacy ya kwel mpango wa huyu mkwere ulifeli kabla haujafeli ni heri angetumia hizo pesa kujenga academis leo tungezalisha wachezaji pamoja na viongozi wa mpira
Workdone = 0 kwanini walipwe?
Huyu jamaa kila kitu cha jk anapinga tu
ndio dawa magufuli njooni na halmashauri zetu mf. mwanza kuna tumijitu tunao jihita wakuu wa idara tunakula pesa bure vunja kabisa watu hawa nawengine wanasema wanabakia kwenye ukuu wa idara atakama idara na Vite go vimebadilika ilimladi waendelee kula hela za serkali
mkuu mpaka hata wewe umeona? maana kila kitu alichofanya JK kuna wengine kazi yao ni kupinga tu. hata kama leo hii anasafiri mpaka mwanza bila kupitia nchi jirani kwa uwepo wa barabara nzuri wao ni kupinga tu.
Kikwete alifanya jukumu lake la kuleta makocha ambao iliaminika kuwa ni wakiwango cha juu ili kuinua soka letu. pamoja na nia yake hiyo nzuri na hata kawa hawakuwa na mafanikio wao ni kupinga tu. wamesahau hata akina jose wa chelsea na van wa man u ni makocha wazuri japo wamekosa mafanikio.
Hivi kwa akili za kawaida umeshawahi kuwa na hisia kwamba tanzania itakuja kuchukua kombe lolote kubwa....hicho kitu sahau kabisa aiseeeeesijaona kosa la Kikwete hapa. maana alikuwa na nia nzuri tu ya kuinua michezo nchini. kupeleka punda mtoni ni suala moja lakini punda huyo kunywa maji ni suala lingine kabisa. je, taifa stars ingechukua kombe la dunia/afrika kule brazili/west afrika ungeyaandika haya? ama kweli binaadam nio mtu.
Huyu jamaa kila kitu cha jk anapinga tu
Ubadhirifu na ufisadi ulikithiri. Magufuli ulipo yupo.
Lakini kumbukeni kuwa huyo ni rais wenu mstaafu
Hivi kwa akili za kawaida umeshawahi kuwa na hisia kwamba tanzania itakuja kuchukua kombe lolote kubwa....hicho kitu sahau kabisa aiseeeee