Magufuli kutowalipa mshahara makocha Taifa Stars

Magufuli kutowalipa mshahara makocha Taifa Stars

mkuu nikikusoma kwenye baadhi ya michango yako inaonesha kabisa unaelewa ukweli wa mengi sema kinachokuharibu ni unazi tu wa kichama.

by the way, leo hii serikali ya magufuli imekanusha kuwa haijafuta mshahara wa kocha wa timu ya taifa (football) sasa sijui hao waliokuwa bize kumtukana Kikwete wataanza kumtukana na Magufuli tena! hata sielewi.

Kweli kabisa binadamu wamegeuka na kutawaliwa na matukio
 
mkuu nikikusoma kwenye baadhi ya michango yako inaonesha kabisa unaelewa ukweli wa mengi sema kinachokuharibu ni unazi tu wa kichama.

by the way, leo hii serikali ya magufuli imekanusha kuwa haijafuta mshahara wa kocha wa timu ya taifa (football) sasa sijui hao waliokuwa bize kumtukana Kikwete wataanza kumtukana na Magufuli tena! hata sielewi.

Mkuu kwenye issue za kiitikadi nakuwa kweli kwenye itikadi lkn tukiingia kwenye ukweli nakuwa mkweli
 
nimekusoma mkuu. lakini hata hivyo kusema ukweli unazi wa kichama umekukolea kidogo.

Mkuu kwenye issue za kiitikadi nakuwa kweli kwenye itikadi lkn tukiingia kwenye ukweli nakuwa mkweli
 
TFF isimamie mapato vizuri itaweza kujiendesha vizuri tu.
Ikubali kufuata taratibu na kanuni za uendeshaji wa taasisi.Kumbukumbu za fedha ziandikwe,zitunzwe na kukaguliwa na Wakaguzi na taarifa iwe wazi kwa wadau!
Kwa Serikali hii iliyopo ubabaishaji hautakiwi,TFF wajiongeze na wadhibiti matumizi ya fedha!
Serikali ijenge miundo mbinu ya michezo ,sasa hapa ndipo inapokuja hoja ya kurudisha viwanja vya michezo vilivyochukuliwa na CCM na virejeshwe Setikalini kupitia Halmashauri za maeneo husika!
 
Back
Top Bottom