mkuu nikikusoma kwenye baadhi ya michango yako inaonesha kabisa unaelewa ukweli wa mengi sema kinachokuharibu ni unazi tu wa kichama.
by the way, leo hii serikali ya magufuli imekanusha kuwa haijafuta mshahara wa kocha wa timu ya taifa (football) sasa sijui hao waliokuwa bize kumtukana Kikwete wataanza kumtukana na Magufuli tena! hata sielewi.

Kweli kabisa binadamu wamegeuka na kutawaliwa na matukio