Magufuli kutowalipa mshahara makocha Taifa Stars

zama za kuongoza nchi kijanjajanja zimekwisha huwezi kukuza mpira wa nchi kwa serikali kumlipia mwalimu wa kigeni ni mara mia ya mkapa aliejenga uwanja wa taifa ameacha legacy ya kwel mpango wa huyu mkwere ulifeli kabla haujafeli ni heri angetumia hizo pesa kujenga academis leo tungezalisha wachezaji pamoja na viongozi wa mpira
 
We mbavicha nenda kurasini kajionee jk sports academy!
 
mkuu mpaka hata wewe umeona? maana kila kitu alichofanya JK kuna wengine kazi yao ni kupinga tu. hata kama leo hii anasafiri mpaka mwanza bila kupitia nchi jirani kwa uwepo wa barabara nzuri wao ni kupinga tu.
Kikwete alifanya jukumu lake la kuleta makocha ambao iliaminika kuwa ni wakiwango cha juu ili kuinua soka letu. pamoja na nia yake hiyo nzuri na hata kawa hawakuwa na mafanikio wao ni kupinga tu. wamesahau hata akina jose wa chelsea na van wa man u ni makocha wazuri japo wamekosa mafanikio.

Huyu jamaa kila kitu cha jk anapinga tu
 
hivi baba mwanaasha alikua anawalipa kupitia mshahara wake au kodi zetu watz?
 
ndio dawa magufuli njooni na halmashauri zetu mf. mwanza kuna tumijitu tunao jihita wakuu wa idara tunakula pesa bure vunja kabisa watu hawa nawengine wanasema wanabakia kwenye ukuu wa idara atakama idara na Vite go vimebadilika ilimladi waendelee kula hela za serkali
 
Chuki binafsi hizo kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
 
mkuu mpaka hata wewe umeona? maana kila kitu alichofanya JK kuna wengine kazi yao ni kupinga tu. hata kama leo hii anasafiri mpaka mwanza bila kupitia nchi jirani kwa uwepo wa barabara nzuri wao ni kupinga tu.
Kikwete alifanya jukumu lake la kuleta makocha ambao iliaminika kuwa ni wakiwango cha juu ili kuinua soka letu. pamoja na nia yake hiyo nzuri na hata kawa hawakuwa na mafanikio wao ni kupinga tu. wamesahau hata akina jose wa chelsea na van wa man u ni makocha wazuri japo wamekosa mafanikio.

Kweli kabisa binadamu wamegeuka na kutawaliwa na matukio
 
sijaona kosa la Kikwete hapa. maana alikuwa na nia nzuri tu ya kuinua michezo nchini. kupeleka punda mtoni ni suala moja lakini punda huyo kunywa maji ni suala lingine kabisa. je, taifa stars ingechukua kombe la dunia/afrika kule brazili/west afrika ungeyaandika haya? ama kweli binaadam nio mtu.
Hivi kwa akili za kawaida umeshawahi kuwa na hisia kwamba tanzania itakuja kuchukua kombe lolote kubwa....hicho kitu sahau kabisa aiseeeee
 
Eeeeeh! Maana xelkar ina mambo meng muhm ya kufany xio football coz wnalipa tunaixhia kupigwa sabaaaaaaaa
 
Mtamuuua jk kwa presha. Kila alichokifanya jamaa kaja kukiondoa duh!!
 
Hata hivyo nchi yetu ni masikini saana kuwekeza maeneo yasiyolipa......

Mpira wa miguu haujawah kuwa na mafanikio Tanzania kwa kipindi cha miaka 30 sasa... na wala kocha hajawahi kuwa kisingizio cha kutokufanya vizuri.... TFF wenyewe ni wababaishaji sana... bora asiwalipe
 
Tff kama ni mtoto,bac ni mtoto ambaye haleleki,vikumbo posho na mishahara minono ndo pale,hakuna mabadiliko ktk soka
nashukuru serikali ya watu imeliona,
 
Ushauri kwa Malinzi na TFF: Tunaomba utulipe mishahara na sisi mashabiki maana ndio tunaoteseka na kupata aibu kuliko makocha na wachezaji
 
leo serikali imekanusha kuwa haijafuta mshahara wa kocha wa timu ya taifa (football). anzeni tena kumtukana na magufuli.

Back
Top Bottom