Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
pesa za kulipa makocha wa kigeni serekali ingewekeza kwenye kuboresha viwanja na kukuza vipaji. tungefika mbali.
Utakuza vipaji bila mwalimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa za kulipa makocha wa kigeni serekali ingewekeza kwenye kuboresha viwanja na kukuza vipaji. tungefika mbali.
Walikuwa wanalipwa Tsh. ngapi?
Hio mada imepotoshwa.
Usahihi ni kwamba makocha wote wa Starz hulipwa na TFF isipokuwa Marcio Maximo ambapo kwa utashi wa JK kupenda mpira aliamua alipwe na serikali.
Na makocha waliowahi kuikochi starz tangu JK aingie madarakani ni Marcio Maximo, Jan Paulsen, Kim Paulsen, Mart Nooij na sasa ni Boniface Mkwassa. Ila ni Maximo ndiye aliyepata zali la kulipwa na serikali ya JK.
Workdone = 0 kwanini walipwe?
Huyu jamaa kila kitu cha jk anapinga tu
Jamaa si mswahili,jk anawaza kuchomoa na kuchomeka tu
Habari kutoka gazeti la Mwananchi inasema kuwa makocha wa Taifa Stars watakuwa wanalipwa na TFF na wala sio serikali kwa kuwa hakuna ulazima wa wao kuendelea kulipwa na serikali badala ya TFF.
Ikumbukwe kuwa serikali ya awamu ya nne ilileta makocha wengi wa kigeni kuanzia Marcio Maximo na ilikuwa ikiwalipa mshahara
Muache Malinzi aisome NAMBA maana Mara baada ya JPM kuteuliwa na CCM alimualika kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kombe la kagame (Kujipendekeza)
Ninyi ndiyo mlikuwa mkimsifia JK kwa kuleta makocha na kuwalipa! Wabongo ni shida!