Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco.
M
Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama.

Kajisahau sasa anaenda kuadhimisha alichokikataa, wazungu wanasema " a lier should have a memory"

Yupo huko lake zone huku hana furaha na ushindi wake wa 99.999% ya uchaguzi.
Mzee kijana-Polepole anazidi kuzeeka huku akizidi kuwa mwongo na sijui watoto wake sasa wanaanza kumuita Babu
 
Kila jambo na wakati wake.
Katika kujibu mtihani sio lazima kuanzia maswali marahisi.
Ni MaGenius pekee ndio kufanya mtihani kwa mtiririko au kuanzia maswali magumu.
 
Hivi walivyo ahirisha sherehe zile za Uhuru hazikuwahi kufanyika tena hadi mwaka huu wanapoazimishia Mwanza?

Huku nilipo network inasumbua.
 
Kasikia kuwa mh Lissu kachukua form ya umakamu mwenyekiti
 
Una taarifa leo madiwani watano wa Chadema Arusha wamejiuzulu udiwani, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM? Wewe endelea kuchunga mke wa jirani huku wako akiliwa!!
 
Sijaona mantiki ya povu lako źaidi ya chuki..barabara ya moroko ipo tunaiona hivyo alifanya kitu sahihi. Punguza povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…