Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

Kuhamia Dodoma haiwezekani, yaani ni kujidanganya, akikanyaga Dodoma lazima azue ziara na anamalizia Dar..haaahaaa kweli MZALENDO.
Naona hata kibashiru na kipolepole vimeshikilia ziara za Zanzibar na Lindi/ mtwara ili vinavyorudi vipumzike dar
 
Hivi walivyo ahirisha sherehe zile za Uhuru hazikuwahi kufanyika tena hadi mwaka huu wanapoazimishia Mwanza?

Huku nilipo network inasumbua.
Mwanza hakuna historia yeyote na uhuru wa Tanzania, hamna kitu sema basi tu kaamua kupeleka sikukuu usukumani, next year itakuwa chato
 
Una taarifa leo wabunge watano wa Chadema Arusha wamejiuzulu udiwani, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM? Wewe endelea kuchunga mke wa jirani huku wako akiliwa!!

Asante,, nina tarifa nyie LUMUMBA kwenye zile 1.5 Trilion , mkaenda kugawa hela ila wamewakatalia, ukaleta hapa habari kumbe wabunge wamezingua.

Mpo kwenye siasa ya kununua badala ya ushawishi, Gaddafi ambaye ndiye role model wenu alianza hivi hivi
 
Una taarifa leo wabunge watano wa Chadema Arusha wamejiuzulu udiwani, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM? Wewe endelea kuchunga mke wa jirani huku wako akiliwa!!
Unasema?
 
si angesubiri hiyo barabara yenyewe iishe kwanza basi...
 
Mwanza hakuna historia yeyote na uhuru wa Tanzania, hamna kitu sema basi tu kaamua kupeleka sikukuu usukumani, next year itakuwa chato
Kwan mwanza si sehemu ya Tanzania?....kuna kosa gan sherehe za Uhuru kuletwa mwanza...au kuna sheria gan inasema ili sherehe za Uhuru zifanyike mahali, sehemu inafaa iwe ya kihistoria?..
 
Tuchezee vyote ila sio sherehe muhimu kama za uhuru kila mwaka inatakiwa zifanyike ili watoto wanaozaliwa wajue maana yake pia tujue mashujaa wetu.

Unaacha mwenge halafu unafuta sherehe za uhuru.
Sherehe za kitaifa zimepoteza muelekeo na maana sana zinazidisha kutugawa wananchi.
 
Punguza stress na uandike kwa umakini zaidi, sio unaandika kama umepewa taraka
Una taarifa leo wabunge watano wa Chadema Arusha wamejiuzulu udiwani, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM? Wewe endelea kuchunga mke wa jirani huku wako akiliwa!!
 
Mi sioni tatizo ,hakusema anafuta sikukuu ya Uhuru milele
 
Asante,, nina tarifa nyie LUMUMBA kwenye zile 1.5 Trilion , mkaenda kugawa hela ila wamewakatalia, ukaleta hapa habari kumbe wabunge wamezingua.

Mpo kwenye siasa ya kununua badala ya ushawishi, Gaddafi ambaye ndiye role model wenu alianza hivi hivi
Acha kujibu pumba. Huyo Gaddafi endelea kumzungumza. Na endelea kusubiri. Hata Maalim Seif bado anaendelea kusubiri.
 
Duuuh kweli Masikini wa kitanzania tunajua kujipa moyo.

Yani kushinda washinde wao na Raha wakose wao kweli!

Mkuu inaonekana na wewe upo kwenye lile kundi Masikini Wanaowachukia Matajiri kwa Mali zao na wanaoona Matajiri hawana Raha na mali zao walizonazo. ila wao Wanaosagwa na njaa na ukata wa Hali juu Wanajiona Kama ndo wanaraha kumbe Ni karaha tu.

Mwisho: Kwa akili hizi za Kusema serikali haina Raha na ushindi wake zitaifanya CCM endelee kukaa madarakani miaka mingi sana.

Maana inaoenekana vyama vya upinzani vimekosa hoja shindani Bali Vinajifaliji kwa sababu mufu.
Poleni Sana nyie wachumia Siasa Mtaanzia Anaejielewa Amesubiri 2020 afanye yake Ila mapoyoyo ndo nyie Mnahangaika kila siku Hadi Ni vitu vidogo..

Na mnakoelekea mtakuja kuleta Uzi humu wa kumulaumu Rais kutokwenda chooni Mara tatu kwa siku. Au Kumusemea First lady Mambo ndoa.
 
Back
Top Bottom