Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

Punguza stress na uandike kwa umakini zaidi, sio unaandika kama umepewa taraka
The concept stands. Na ikifika 20121 baada ya uchaguzi, Mbowe anaunga juhudi. Tunza sana hii for future reference.
 
Tuchezee vyote ila sio sherehe muhimu kama za uhuru kila mwaka inatakiwa zifanyike ili watoto wanaozaliwa wajue maana yake pia tujue mashujaa wetu.

Unaacha mwenge halafu unafuta sherehe za uhuru.
Yani mkuu wewe Ni miongoni mwa Wana jf Wanaojielewa Sana.. Serikali inapozingua huwa hukwepeshi hata nukta katika kuikosoa na Upinzani wanapo kosea pia huwa hukwepeshi hata nukta.

Safi Sana Akili za namna hii tu ndo zinaweza itoa CCM madarakani na Wala siyo akili za kutukana na kufoka hovyo bila hoja.

Well said mkuu 9th December haitakiwi kubezwa hata siku moja.
 
Tuchezee vyote ila sio sherehe muhimu kama za uhuru kila mwaka inatakiwa zifanyike ili watoto wanaozaliwa wajue maana yake pia tujue mashujaa wetu.

Unaacha mwenge halafu unafuta sherehe za uhuru.
Mzee Meko alikuwa sahihi kufuta sherehe za uhuru.

Uhuru wetu una maana gani ikiwa siku hizi hatuna uchaguzi,bali kuna uteuzi?

Kodi kubwa lkn huduma za hospitali kulipia bei kubwa?
Gharama za bima hatuwezi kumudu walala hoi?
Sioni sababu ya kuadhimisha sherehee za uhuru kwa sababu sababu zile zile tulizotumia kumuondo mkoloni zipo na zinazidi kuongezeka
 
Una taarifa leo madiwani watano wa Chadema Arusha wamejiuzulu udiwani, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM? Wewe endelea kuchunga mke wa jirani huku wako akiliwa!!
Watoto mnatakiwa kupita tu kama mada zinawazidi uwezo!Nini kimekueleza kuwa mleta mada ni mwanaCDM?Anachoongea kina mantiki?
 
Pale msukule wa Lumumba unapoona "Raha" na kuifanya hoja kwenye majibu ya thread!Yaani hujaelewa hata hoja ya msingi?Akili Hizi bhana
 
Watoto mnatakiwa kupita tu kama mada zinawazidi uwezo!Nini kimekueleza kuwa mleta mada ni mwanaCDM?Anachoongea kina mantiki?
Demokrasia ni kufanya jambo lolote au kuongea jambo lolote au kwenda popote ili mradi usivunje sheria au kunyang'anya hali za wengine. Nimekosea wapi? Au kwakuwa Mbowe ni kama Malkia wa Siafu ndani ya Chadema hamtaki asemwe?
 
Mbowe atakuwa alikukula akakuacha,sio bure!Uzi hauhusiani na Mbowe ila umekomaa naye!Shame
 
Kama ni kweli ni AIBU KUBWA HII
 
Mbona Dodoma hakai tena wakati ametangaza kuhamia?
 
Mwanza hakuna historia yeyote na uhuru wa Tanzania, hamna kitu sema basi tu kaamua kupeleka sikukuu usukumani, next year itakuwa chato
Kwa kuyasoma maandishi nimegundua kuwa wakati wa harakati za uhuru ulikuwa hujazaliwa, vinginevyo usingeandika hizo pumba.
 
magufuri asingekuwa mtu wa kuwana mungu angepata tabu sana uzuri anamungu ndo maana qnafanya vizuri na nchi inasonga mbele. Yani nyie mnaomuombea mabaya mtapata kwikwi ya bure.
 
Hivi wewe jamaa sio mwanajeshi?
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…