Walikughu Senior Member Joined Dec 7, 2011 Posts 152 Reaction score 35 Dec 3, 2019 #61 sweettablet said: Haiondoi ukweli hao madiwani wameondoka Chadema. Mwisho wa siku Chadema kitabadili jina kitaitwa Chadema Online Political Party! Ahahahahah! Click to expand... Na ccm itaitwa DolaCCM
sweettablet said: Haiondoi ukweli hao madiwani wameondoka Chadema. Mwisho wa siku Chadema kitabadili jina kitaitwa Chadema Online Political Party! Ahahahahah! Click to expand... Na ccm itaitwa DolaCCM
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Dec 4, 2019 #62 Mmawia said: Ni sawa na jini kabura Click to expand... Baada kuvuna mabilioni katika udalali wa kununua wapinzani uchwara amesahau kula mbolea ndiyo maana sura imabadilika badilika kama kinyonga.
Mmawia said: Ni sawa na jini kabura Click to expand... Baada kuvuna mabilioni katika udalali wa kununua wapinzani uchwara amesahau kula mbolea ndiyo maana sura imabadilika badilika kama kinyonga.