Watanzania wengi wanatamani hata huko aliko auliwe pia,Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka
Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi wanatamani hata huko aliko auliwe pia,Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka
Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Utakuwa ulipita kijiwe cha sukuma gangKuna kijiwe nimepita nikasikia wanasema
JPM ndio alikuwa anaupiga mwingi ila
Mama anatupigisha sisi mwingi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Unampangia mungu kazi? Mungu anajua zaidi yetu.Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka
Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Ongezea na kupandishwa madaraja,kupunguziwa Value Retention Fee,kulipwa malimbikizo na mikopo ya watumishi.Braza' hata ajira huna, alafu ukaaminishwa ule uongo ' Magufuli awajaza mapesa wafanyakazi' ile payee aliyopunguza kwa kima cha chini kwa asilimia 2% mwaka 2016 effect yake kwenye mshahara haikuzidi hata sh. 10,000. Samia alipunguza asilimia 1% mwaka 2021 kwa kima cha chini na na mwaka huu akaongeza asilimia 23% kwenye mishahara yao (Ni kama amefuta Kodi yote ya kima Cha chini (8%) na kuwaongezea fedha katika mishahara yao (15%)
Labda nikufafanulie
Katika ngazi na viwango vya mishahara serikalini mwenye kima na kiwango cha chini kabisa cha mshahara ni yule mwenye kiwango cha TGOS-A na TGTS-A
JAKAYA 2015
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi(Payee 11%) Tsh. 33,000/=
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 11%) Tsh.34,100/=
MAGUFULI 2016/2021
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 9%) Tsh. 27,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,000
Ongezeko: 00
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 9%) Tsh.27,900/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,200
Ongezeko: 00
MAMA SAMIA 2021/2022
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 24,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.3,000
Ongezeko: 00
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.24,800/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.4,900
Ongezeko: 00
MAMA SAMIA 2022/2023
TGOS-A
Mshahara 370,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 29,600
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000
TGTS-A
Mshahara 380,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.30,400/=
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000
Sasa sijui mimi na wewe nani mjinga! Labda kwa kuwa wewe ulidanganywa. Soma hapa https://nuktaafrica.co.tz/contact-us/
Acha upumbavu wewe,makato ya simu yamepunguzwa kwa 43% ,kabla ya ongezeko mlilipa hayo makato je maisha yalisimama?We ni mpuuzi, hilo ongezeko linafaa nini kama Makato ya simu ni mara 2, unalipa 18% VAT na Tozo ambayo ni zaidi ya kiwango cha VAT. Jambo ambalo halikuwepo kabla ya Miss Utalii.
Ongezeko linafaa nini kama mfuko wa mbolea uliokuwa unauzwa 52,OOO kwa sasa unauzwa 1OO,OOO+?
Ongezeko lafaa nini iwapo bei ya mafuta ya gari yameongezeka kwa 5O% toka bei aliotuachia Magufuli?
Bei za vyakula na nafaka huoni, au sababu unakula kwa wazazi wako.
Angatwe na kunguni debe moja aliko hukoTulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!