Magufuli lala salama!

Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka

Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Watanzania wengi wanatamani hata huko aliko auliwe pia,
 
Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka

Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Unampangia mungu kazi? Mungu anajua zaidi yetu.
Damu za ben Sanane na kijana wa makambako zikawe kiongozi.
Cheo ni zamana . Alijua hatakufa
Asante mungu wetu kututoa mkononi mwa utawala wa dictator hakika wewe ni mkuu wa vyote
 
Ongezea na kupandishwa madaraja,kupunguziwa Value Retention Fee,kulipwa malimbikizo na mikopo ya watumishi.
 
Acha upumbavu wewe,makato ya simu yamepunguzwa kwa 43% ,kabla ya ongezeko mlilipa hayo makato je maisha yalisimama?

Kwani wewe mtumishi ni mkulima? Hata kama wewe ni mkulima kwani hujui kwamba Bei za mbolea mwaka huu zitawekewa ruzuku?

Kwa hiyo hilo ongezeko la 70,000 huoni kwamba linafidia Bei za vyakula na mafuta nk?

Umesema Bei za Mazao zimeongezeka na ukasema Bei za mbolea zimeongezeka sasa kama wewe ni mtumishi na mkulima huoni ongezeko la Bei ya Mazao litakupa faida mara mbili na usione effects yoyote?

Usiwe fala wewe wastage sperm fikiria nje ya box.
 
Angatwe na kunguni debe moja aliko huko
 
....ukweli ni kwamba watumishi wengi wa umma hawafanyi kazi kwa ufanisi unaotakiwa. Ongezeni bidii tija ionekane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…