Magufuli licha ya mabaya yake lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake na Samia yeye ni

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Magufuli alikuwa Dikteta lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake, kama ilivyo kwa Putini, lakini Samia yeye si mzalendo hata kidogo bali ni ........wa rasilimali za Tanganyika.

Na bado ameingia madarakani kimchongo si Rais halali na ameenda mbali zaidi akawauwa Watanganyika Wazalendo ambao walikuwa wanaipigania inchi yao.

Sasa wewe unayeitetea hii serikali haramu pamoja na Samia tukuite Mzalendo? Au ndiyo wale mnaotetea kwa kulipwa pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…