Mtoa mada nassume hii clip haijachezewa ili nimtendee haki pombe.
Duh jamani mbona aibu? Mliocheka mlipaswa kulia bila kujali itikadi zenu huyu ni waziri wa JMT anatuwakilisha wote kwa huu ugeni.Binafsi imekuwa ngumu kuamini kwamba former teacher huyu ambaye ni Phd holder (wakusomea sio ya heshima) hawezi kutofautisha kati ya singular na plural. Waalimu wengi wako vzr hili eneo hata kama ni wa chemistry-hakuna excuse kwenye hili lets be fair. Naona hata mgeni anayemwagiwa hii broken yuko puzzled haamini anachokisikia toka kwa senior minister wetu.
Mzee makamba ulitukana sana Kigoma ukimfagilia pombe kwamba ni msomi, ndio usomi huu ulimaanisha? Kingine kilichonisumbua ni kwamba hii shuguli ilikuwa rasmi ndio maaana amevaa mpk tai (mara nyingi havai) so alijiandaa kuzungumza. Kama broken hii iliandaliwa, kithungu chake cha kustukiza kikoje? Mmh imbombo ngafu tena jilipo kwa mtindo huu kwa kweli.