Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi utamjua kwa jinsi anvyoleta vimada vya adabu.
Hivi China wameendelea kwa kiingereza?
We need a man of action, and that man is magufuli.
Colonial language will never build our country.
Stay young man.
Hapa ndio mnanikosha kiukweli watu mliokosa hata punje ya hoja kumchafua Magufuli leo mnajaribu ya Lugha! labda niwaambie kuwa lugha ni lughatu na kwa uzuri juzi hapa Lowassa kahojiwa na Citizeni ya kenya, mnajua English yale nimaneno fahasaha!! acheni ushabiki vijana Lowasa kaongea bloken mnataka tuchambue lugha Magufuli haendi kuongoza waingereza hilo Nyumbu mtambue, MBOWE NI DJ TENA ZERO KWANINI MNAMTUKUZA NA KUMPA UMUNGU MTU? HAPA KAZI TU
Whats wrong with that? Everybody knows he`s no English or American.Ha ha ha the guy can't string coherent english sentences..my foot ha ha ha
Hapa ndio mnanikosha kiukweli watu mliokosa hata punje ya hoja kumchafua Magufuli leo mnajaribu ya Lugha! labda niwaambie kuwa lugha ni lughatu na kwa uzuri juzi hapa Lowassa kahojiwa na Citizeni ya kenya, mnajua English yale nimaneno fahasaha!! acheni ushabiki vijana Lowasa kaongea bloken mnataka tuchambue lugha Magufuli haendi kuongoza waingereza hilo Nyumbu mtambue, MBOWE NI DJ TENA ZERO KWANINI MNAMTUKUZA NA KUMPA UMUNGU MTU? HAPA KAZI TU
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Ni kweli mkuu angekuwa ni mtu tumemtoa tu labda huko jeshini tukampa nafasi ya kugombea sawa lakini huyu ni msomi wa kiwango cha phd. Hawezi kuongea sentensi moja ya kiibgereza kwa usahihi! Ijulikane kwamba ili uruhusiwe kufanya PhD lazima uoneshe competency kwenye lugha utakayoitumia kufanyia hiyo Phd. Sasa huyu dijui ilikuwaje. Au alifanyiwa? Kwa sababu wakati anafanya hiyo phd tayari alikuwa waziri! Hivi huyu jamaa ataweza kukaa na marais wenzake wa malawi zambia n.k ambao hawajui kiswahili kudiscuss issues kweli? Hii ni aibu wakuu. Na ccm wameonesha kukosa umakini kwa hali ya juu!sio china yote imejengwa na wachina part kubwa walikuwa wameisha jengewa japo lugha si jambo la kudetermine ubora kwenye uongoz ila ile phd mm ndo naumiza kichwa mfumo wa elimu ukoje wa phd ngeli haipandi
Tatizo la Magufuli si lugha tu hata uelewawake wa msmbo kwa jumla unatia hkawatanzania wanahitaji MAENDELEO MAZURI hawahitaji KIINGREZA\KIZUNGU ZUNGU KIZURI.
Hapa ndio mnanikosha kiukweli watu mliokosa hata punje ya hoja kumchafua Magufuli leo mnajaribu ya Lugha! labda niwaambie kuwa lugha ni lughatu na kwa uzuri juzi hapa Lowassa kahojiwa na Citizeni ya kenya, mnajua English yale nimaneno fahasaha!! acheni ushabiki vijana Lowasa kaongea bloken mnataka tuchambue lugha Magufuli haendi kuongoza waingereza hilo Nyumbu mtambue, MBOWE NI DJ TENA ZERO KWANINI MNAMTUKUZA NA KUMPA UMUNGU MTU? HAPA KAZI TU
Mbona hata rais wa uchina,ufaransa,korea,japan na hata brazil hawajui ngenge,lugha yetu ni kiswahili.
Angalieni uhusiano wa mdomo na mikono,, hii yakupikwa 100% Hakuna uwiano wa mdomo na maneno yatokayo mdomoni,,, pia ishara ya uso na mikono havilingani na maongezi ya van mdomoni....