Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

china na mfanano wake wasiotumia kiingereza wana bargain interest zao ki aje boss na hao 1st world.

Acha ujinga mkuu. Unajilinganisha na China wkt Tz hata kiwanda cha Toothpick hatuna!!!! Tukisema Tz inazidiwa na Rwanda kiuchumi mnasena eti Rwanda ni ndogo ndo maana, sasa kwny kizungu mbona mnajilinganisha na China?
 
Kwahiyo una halalisha ujinga kwa ujinga? au kwa vile hapo yupo George Bush hahahaha tuna safari ndefu.
VIVA UKAWA!!!!

Kijana tunaangalia masuala ya msingi kwa sasa. Hatuwezi kujadili kama magufuli anavaa suruali nyeusi au ya blue.
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
...lakini huyu jamaa Magufuli ni product ya doctorate zenu (nyingine za kimagumashi) mnazotoa hapo udsm prof....sishangai wengine hawa hata ku practice specialty zao huwa shida...na matokeo yake wanajiingiza kwenye siasa....haya ni sehmu ya matokeo y kazi yenu hap udsm prof....ndio maana hamlali mnalalamika wasomi wa kibongo kukosa kazi kwenye soko la ajira wanapopambanishwa na wenzao wa nje....

.....sishangai kuona wengi wa hawa wanaojiita wasomi kukimbilia kwenye siasa....Unategemea nini kama mtu mwenye PhD anashindwa hata ku construct sentensi ya kiingereza iliyonyooka??...alafu huyu akiwa rais akatuwakilisha nje tunachekwa sisi kama nchi ya hovyo isiyo na watu makini...maana tunachagua maboga kishabiki....

...coming to your recommended choice for president of TZ...ningependa sana kujua kwanini wewe uliwatosa wenzio wa ACT kwa nafasi hii muhimu pale walipokupendekeza???....huoni kuwa ulionyesha udhaifu kwa kukwepa kikombe hiki??...kama uliweza kukwepa imani iliyowekwa kwako...vipi leo tuamini choice yako kuwa sahihi???...kama kweli unajali quality....
 
QUOTE=;14126205]

"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to you.."

"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..

Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"

LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA
MHESHIMIWA LOWASA.

[/QUOTE]

Kiingilishi kilikuja kwa meli, nimekosa kazi nyingi sababu mnasaili kiingilishi, siye wa Kanumba tunakosa, hi vi sasa wanangu najiefort wasome international skuli.
 
Last edited by a moderator:
Wewe lofa kweli.Tanzania tunazungumza lugha 3. Lugha ya kwanza ni vernacular (Kabila) second language ni Kiswahili na lugha ya 3 ni kiingereza. Mbona huulizi Kama anajuwa kisukuma au Kiswahili? Vijana msiwe watumwa wa akili mtachelewesha Kasi ya Maendeleo katika nchi hii.

Kiingereza ni lugha ya pili ya Taifa la tanzwnia. Ndio lugha maalumu yaawasilino serikalini sasa hiyu si mgimbea urais haifaham vizuri lugha ta mawasiliano ya serikali yake. Mambo ya chuna hayahusiki hapa kule kwao kila kitu kinafanyika kichina. Kwa sababu uchumi wao ni mkubwa sisi nfio tunaopashwa kujifunza kichina. Ummarifu wa lugha unatokana ma uimara wa uchumi. Sasa sisi tupuuze kiingrreza ambacho ni hlobal language haya wachina wenywe wannaijufunza kwa kasi!
 
QUOTE=;14126205]

"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to you.."

"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..

Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"

LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA
MHESHIMIWA LOWASA.

[/QUOTE]

English is not our mother tongue so kukosea ni jambo la kawaida sana sababu sio lugha yetu,mbona humshangai baba yako ambaye hajui kutamka hata sentens moja ya kingereza unakuja kumshangaa magufuri.
 
Last edited by a moderator:

English is not our mother tongue so kukosea ni jambo la kawaida sana sababu sio lugha yetu,mbona humshangai baba yako ambaye hajui kutamka hata sentens moja ya kingereza unakuja kumshangaa magufuri.[/QUOTE]

Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza

Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock
 
Msameheni bure jamani, hajasoma shule za school bus🙈
 
English is not our mother tongue so kukosea ni jambo la kawaida sana sababu sio lugha yetu,mbona humshangai baba yako ambaye hajui kutamka hata sentens moja ya kingereza unakuja kumshangaa magufuri.

Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza

Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock[/QUOTE]

Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.
 
Wakati nchi mbali mbali duniani zikiringia lugha kama utambulisho wao, Nchi maskini ya Tanzania inapima uwezo wa Mtu kwa kuongea kiingereza! Nimeshitushwa sana na kambi mbili kubwa za wagombea Urais kupost video za wagombea na Watanzania wenzetu waliojitokeza kuomba ridha ya kuongoza nchi zikionyesha walivyoshindwa kuongea kiingereza! Hizi ni siasa za kimaskini kabisa. Mtu anapaswa kuonewa huruma kama atashindwa kuongea kiswahili sio kiingereza
:sad:
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.

Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.

Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
 
Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza

Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock

Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.[/QUOTE]

Karibu

Katika ujenzi Wa Tz mpya
VivaUkawa
 
Mimi sioni tatizo kwani hatuchagui rais wa waingereza bali rais wa Watanzania

Pili mbona rais wa China alipokuja hapa alitumia lugha yao Chinese why not Dr Magufuli kutumia kiswahili

Isitoshe Magufuli is a scientist (Chemist and Mathematician) he knows to balance equations and calculations.

Mlinganisho wako ma China hauna mantiki. Chinacwao shufhyli zao zote wanafanya kichina watoto tangu primary wanasoma kichina kingereza hakitumiki kwao. Sio lugha ya kufundishia km sisi. Kiingeteza China ni km kifaranza tanzania. Rais kikwete akienda nchi za kifaranza hqzungumzi kifaranza anazungumza kiingereza. Sasa rais wa china hajui kiingereza kwa sababu hiyo lugha haipo kwao lakini kwetu kiingereza ni sehemu ya lugha zetu muhimi za mawasiliano. alipokuja alizungumza.
 
Hata mimi.nilitumiwa hii clip niliona siye yeye aliyeongea hayo maneno. Amewekewa tu. Kumbuka hata push up.alizopiga tayari amewekewa ushuzi. kila akinyanyuka utasikia pyuu na ile push up ya mwisho ushuzi umekaa muda mrefu kama vile dalili ya kumalizia ushuzi..yaani pyuuuuuuuuuuuuuuu!. Jaya mambo ni ya kutunga tu. Maneno kweli hayaendani na vitendo.
Mkuu nimeku-pm
 
Acha ujinga mkuu. Unajilinganisha na China wkt Tz hata kiwanda cha Toothpick hatuna!!!! Tukisema Tz inazidiwa na Rwanda kiuchumi mnasena eti Rwanda ni ndogo ndo maana, sasa kwny kizungu mbona mnajilinganisha na China?

Kwani kiwanda kinaletwa na kiingereza? nendeni uingereza hapa kwetu panaitwa Tz na lugha yetu tukufu ni Kiswahili na kwa sasa inaenea kwa kasi ya ajabu sana na ipo siku ..I have a dream ..Kiswahili kitatumika UN assembly
 
Mlinganisho wako ma China hauna mantiki. Chinacwao shufhyli zao zote wanafanya kichina watoto tangu primary wanasoma kichina kingereza hakitumiki kwao. Sio lugha ya kufundishia km sisi. Kiingeteza China ni km kifaranza tanzania. Rais kikwete akienda nchi za kifaranza hqzungumzi kifaranza anazungumza kiingereza. Sasa rais wa china hajui kiingereza kwa sababu hiyo lugha haipo kwao lakini kwetu kiingereza ni sehemu ya lugha zetu muhimi za mawasiliano. alipokuja alizungumza.

Mkuu yote kwa yote. Tanzania yenye mafanikio haihitaji mtaalam wa kuongea lugha za kigeni tunahitaji mtu wa kufanya kazi

Utaalamu na ufundi wa kuongea lugha tuwaachie wataalamu wa lugha ‘‘Linguists" tunahitaji mtu wa kuzungumza na Watanzania wakamwelewa
 
Kwani kiwanda kinaletwa na kiingereza? nendeni uingereza hapa kwetu panaitwa Tz na lugha yetu tukufu ni Kiswahili na kwa sasa inaenea kwa kasi ya ajabu sana na ipo siku ..I have a dream ..Kiswahili kitatumika UN assembly

Asante kaka pokea likes za kutosha
 
Kijana tunaangalia masuala ya msingi kwa sasa. Hatuwezi kujadili kama magufuli anavaa suruali nyeusi au ya blue.

Hili pia ni mojawapo ya suala la MSINGI mkuu sihitaji kuelezea ni kivipi ila ukisoma comment mbalimbali zilizochangia mjadala huu utanielewa ikiwa ni pamoja na mdau aliyesema China ni nchi inayojitegemea kwa teknolojia yake iliyowekwa katika lugha ya kichina HII NI TOFAUTI NA KISWAHILI unacho mtetea nacho magufuli kuwa atakiongea popote pale. Ifike mahali tufanye maamuzi sahihi kwa mustakabali wa taifa letu ikiwa ni pamoja
na kuchangia maendeleo yetu. Mchana mwema
VIVA UKAWA!!!
 
Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza

Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock

Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.[/QUOTE]

Ndiyo hajui kiingereza kwani kinatusaidia nini kama siyo kuendekeza ukoloni? ilimradi anajua lugha anayoifahamu bibi yangu kule kijijini inatisha.
 
Back
Top Bottom