babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
HahahH makufuli katisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii topic lazima ifutwe maana nyuzi nyingine kuhusu makomeo wana delete comments. Yani PhD level kwa broken hii hapana aisee kama akibahatika kuwa raisi awe anaenda na mkalimani
Kwa kweli kaivunjavunja Lugha ya Malkia..PHD holder hajui hata Saddam Hussein alikuwa Rais wa wapi
Mimi sioni tatizo kwani hatuchagui rais wa waingereza bali rais wa Watanzania
Pili mbona rais wa China alipokuja hapa alitumia lugha yao Chinese why not Dr Magufuli kutumia kiswahili
Isitoshe Magufuli is a scientist (Chemist and Mathematician) he knows to balance equations and calculations.
Acha uongo ....kuna vitu vng vya kujadili wala c maembe yenu hayo.....we mwenyew hujui kwa kunyoshea vidole wenzako?????
Mpuuzi utamjua kwa jinsi anvyoleta vimada vya adabu.
Hivi China wameendelea kwa kiingereza?
We need a man of action, and that man is magufuli.
Colonial language will never build our country.
Stay young man.
povu linakutoka na vipi kuhusu Kuwait na Sadam Hussein? ni dhahiri huyu mtu IQ yake ni ndogo mno
Unadhani Wachina hawaongei English? Nani kakudanganya?
Ni daktari wa nini huyu magufuli??????????????
???????
???
?
Kwani wajapani walisoma kwa kiingereza hiyo elimu yao? Poor reasoning huyu kiingereza ndo lugha aliyoisomea digrii zote 3
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Mambo ya kawaida hayo hata George Bush Jr alipoulizwa Spain iko wapi alisema hajuwi unashangaa nini?
English is not leadership