Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.

Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.

Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock

Hoja dhaifu kwahiyo kujua english ni kigezo cha kuwa rais? Mmejaribu kuua umoja wa watanzania kwa kuleta vurugu imeshindikana sasa mmeanza na kampeni ya kutuaminisha kuwa kiingereza ni bora kuliko lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Tutamchagua mtu kwa utendaji wake na sio kwa ufisadi uliopakwa rangi kwa jina la mabadiliko.

Kaulize china kama xi jinping anaijua hiyo lugha mnayoipigia debe, nenda hata kwa vladimir putin. Leteni sera na mipango kuwa hayo mabadiliko mnayoyapigia kelele mtayatekelezaje sio kuleta mipasho. Igeni wenzenu CCM japokuwa wanajua kuwa Mmoja wa mgombea urais wa Upinzani ni MNYAJI MZURI wa MAVI HADHARANI awapo katika mikikimikiki ya kampeni zake na wafuasi wao ni TEAM MIMAVI lakini hawajaishikia bango hiyo single
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

Ahaaa, piece of fun! But your university awarded him (Magufuli aka Aliselema) PhD jubilantly...
 
Mkuu yote kwa yote. Tanzania yenye mafanikio haihitaji mtaalam wa kuongea lugha za kigeni tunahitaji mtu wa kufanya kazi

Utaalamu na ufundi wa kuongea lugha tuwaachie wataalamu wa lugha ‘‘Linguists" tunahitaji mtu wa kuzungumza na Watanzania wakamwelewa
Ni kweli, ila ishu ya hapa ni je doctorate yake aliipata kwa lugha gani? maana haiwezekani kama mtu uko sawa ukasoma mpaka Phd kwa lugha ya kizungu alafu sentence rahisi tu ya kizungu ukashindwa unga! Hapa ni kwamba eidha mtu haufundishiki au ulikuwa haufiki darasani ila umepitishwa tu na kupewa elimu uliyonayo, haukuitafuta!
 
Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.

Ndiyo hajui kiingereza kwani kinatusaidia nini kama siyo kuendekeza ukoloni? ilimradi anajua lugha anayoifahamu bibi yangu kule kijijini inatisha.[/QUOTE]

Kwa taifa kama Tanzania Rais wake kutokuijua international language tena kwa level ya elimu yake PhD !!!

Big No kuna Tatizo kuanzia Elimu yake mpaka akili
 
Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.

Ndiyo hajui kiingereza kwani kinatusaidia nini kama siyo kuendekeza ukoloni? ilimradi anajua lugha anayoifahamu bibi yangu kule kijijini inatisha.
Ishu ni je ANAFUNDISHIKA?
mimi binafsi hainiingii akilini mtu anayefundishwa kwa kizungu mpaka kupata PhD eti hajui kizungu.
 
Umefika wakati wa kujenga nchi mpya,kama ulipewa degree,phd ,diploma upimaji uanze haraka na mapema,hata maofosini kumejaa wajinga wengi sana ndio maana kazi haziendi sababu ya kujuana na undugu.
 
Alishindwa hata kukariri sentensi kumi za kusema???? faiza foxy baro Mr Chin MOTOCHINI njooni muone aibu ilioje!!! Kiukweli makufuli hafai na hana sifa za kuwa hata mwenyekiti wa kijiji.
 
Last edited by a moderator:
Although Xi Jinping read English, he can barely speak it. That is the president of China.

 
ni kweli, english is not leadership, ila ndugu yangu kama hii ishi ina ukweli wowote, inazua jambo uwezo wa huyu jamaa kichwani, ni dr. Kumbuka, ilikuwaje akawa doctor? Mimi nimesoma shule za kawaida, sijasoma shule za kizungu, nina bachelor ila kizungu hakinizingui sababu nimeanza kufundishwa nacho kwa kukariri kuanzia form one, mpaka namaliza form six nilikuwa angalau sababu, sasa hapo mtu unapiga mpaka udoctor na bado kuongea sentence iliyonyooka ya kizungu ni shida inaleta utata, na sasa nikiunga na yale ya sudan, libya na saddam napata ukakasi. Hapa issue inayojitokeza ni elimu yetu hasa hawa madokta na maprofessor wazee, maana udoctor wake aliipatia udsm, sio nje!
Ila ni mchapa kazi na muadilifu, lugha kama hayupo sawa atajifunza zaidi mbele ya safari.
mnajua ya kwamba huyu magufuli ana doctorate ya chemistry, halafu tunabeza au hatujui hayo masomo waswahili wana msemo'mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"
 
kutoa hotuba nzuri kwa kiingereza inakusaidia nini, mbona unaendeleza utumwa mkuu kiingereza lugha ya watu na si yetu.

kuishabikia ni mwendelezo wa utumwa, kama mtu ni mtendaji mzuri na ana uwezo wa kutusaidia tumwache kisa hajui kiingereza upuuzi wa hali ya juu.

kuna maarifa na lugha kujua kiingereza haikufanyi kuwa na maarifa mkuu

Yeye anachojua ni kupiga push up tu...kumbe kichwani ni empty/vacuum/void.
 
Lowassa kuna interview na TV ya Kenya kasema "our people are more poorer"

Nikasema duuh.
Hii angalau unaweza msamehe, ukiongea na mzungu aliyezaliwa na lugha atakuelewa ulikuwa unamaanisha nini.
 
Wasaalam wakuu
wagombea wetu mwaka huu wanachekesha sijui wanachapa kizungu cha marekani, Afrika kusini, Uingereza au wapi? Kama yule mwenye Phd yeye ni kuvuruga ligha za watu tu sasa sijui kama ataweza kupresent mambo kama afanyavyo raisi wa Kenya, au ndio atapiga kisukuma chake ?

Acha wazimu, nadhani umelogwa na wazungu. Maraisi wa North Korea na China hizo lugha unazoshadadia hawazijui!
 
Ikulu hakuna kazi ya kuongea kiingereza.tunataka kazi tu basi.kama shida ni kiingereza tutaweka mkalimani na rais ataongea kwa Kiswahili msitubabaishe. Mbona lowasa hata Kiswahili hawezi kuongea.

Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.
 
Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.

Ishu iliyoibuka ni elimu ya kupeana, ila JPM anazo sifa zote za kuwa rais na ameonesha kuwa ni mtendajizuri. Kura yangu bado anayo.
 
Rais wa awamu hii ni kituko kwelikweli km akichaguliwa nitatamani miaka kumi iishe haraka
 
Back
Top Bottom