Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
Hoja dhaifu kwahiyo kujua english ni kigezo cha kuwa rais? Mmejaribu kuua umoja wa watanzania kwa kuleta vurugu imeshindikana sasa mmeanza na kampeni ya kutuaminisha kuwa kiingereza ni bora kuliko lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Tutamchagua mtu kwa utendaji wake na sio kwa ufisadi uliopakwa rangi kwa jina la mabadiliko.
Kaulize china kama xi jinping anaijua hiyo lugha mnayoipigia debe, nenda hata kwa vladimir putin. Leteni sera na mipango kuwa hayo mabadiliko mnayoyapigia kelele mtayatekelezaje sio kuleta mipasho. Igeni wenzenu CCM japokuwa wanajua kuwa Mmoja wa mgombea urais wa Upinzani ni MNYAJI MZURI wa MAVI HADHARANI awapo katika mikikimikiki ya kampeni zake na wafuasi wao ni TEAM MIMAVI lakini hawajaishikia bango hiyo single