Mshasahau walipoomba kura za ubunge Afrika Mashariki?
Kiingereza ni tatizo kutokana na elimu yetu. Na pia watu wengi wavivu kutafuta maarifa tofauti na fano walizosomea.
Akiwa rais namshauri awe na wakalimani kila.mara na atumie ti kiswahili.
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?
Asante, nimekuelewa vizuri.
Mimi nilihoji tu, ila NIMESHAMPIMA KWA VIGEZO VYANGU na kapita with flying colors, ndiye mwenye kura yangu tarehe 25.10.2015.
Mkuu badala ya kutukana hebu tushawishi kwa hoja. Kwanza jibu haya maswali. Je, Mh. Magufuli hajui kiingereza? Kama hajui ni kwa nini? Je ni kwa sababu kiingereza si muhimu kama usemavyo hivyo akaamua kutokizingatia?Wewe ni mjinga kabisa tena mpumbavu mkubwa. Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha zingine. Kuna marais wengi sana duniani hawajui kabisa kiingereza lakini wanafanya vizuri sana kwenye nchi zao na uchumi wa nchi zao uko juu sana mara 100 ya uchumi wetu Tanzania. Watu kama ninyi mmejaa fikira za kitumwa ndio maana mnaona kuongea kiingereza ni jambo la maana sana. Magufuli haombi kuwa rais wa Waingereza au Wamarekani, Magufuli anaomba kuwa rais wa Waswahili Watanzania wanaotumia Kiswahili kuzungumza kila siku. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Kati ya hao wawili mmoja ni lazima. huyo wa pili tatizo sio so serious. huyo wa kwanza imetisha zaidiGod bless you mkuu kwa kuwa mkweli
Mkuu uko sahihi. kwa sababu mtu ana PhD kote alikopita alitumia kiingereza sasa hivi ni kwa nini ana shida kiasi hiki? Hili ni swali la msingi sanaMkuu badala ya kutukana hebu tushawishi kwa hoja. Kwanza jibu haya maswali. Je, Mh. Magufuli hajui kiingereza? Kama hajui ni kwa nini? Je ni kwa sababu kiingereza si muhimu kama usemavyo hivyo akaamua kutokizingatia?
Acheni ujinga jamani warusi hawatumii kingerezaa km sehemu ya official language yao ukimsikia mrusia au mchina anaongea basi ujue kaamua tu kujifuza wa sabbu ni ziada. Ni kaa sis tujifnze kifranza over engs wetu ss ensh ni lugha muhim kwa shughuli ztu. Kwao englsh sio mumu hivo hawawajibii kukijuaUkija kusikia mrussia anaongea kingereza ndo utajua kuna broken za maana hapa duniano lakini wanamaendeleo japo kiingereza hawajui sasa swali kingereza chake kiwe kizuri ama kibaya kitaleta maendeleo kivipi wacha kua mtumwa wa kiingereza
Acheni ujinga jamani warusi hawatumii kingerezaa km sehemu ya official language yao ukimsikia mrusia au mchina anaongea basi ujue kaamua tu kujifuza wa sabbu ni ziada. Ni kaa sis tujifnze kifranza over engs wetu ss ensh ni lugha muhim kwa shughuli ztu. Kwao englsh sio mumu hivo hawawajibii kukijua
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?
[/QUOTE]QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.
Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?
Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?
Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"
LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA MHESHIMIWA LOWASA.
Kama hajui English ni advantage kwetu Tz safari za nje vitapungua uko wanaenda akina Migiro kumwakilisha.
Ila speech za raisi si huwa zaandikwa pale alikuwa akitoa kichwani izi za kuanikwa kama mseminari atazimudu tuu hasa inapokuwa ndefu atamudu akisimama mda mrefu
china na mfanano wake wasiotumia kiingereza wana bargain interest zao ki aje boss na hao 1st world.