Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Lazima ifike mahali tuambiane ukweli. Ni aibu sana kwa Msomi wa uzamivu katika fani yoyote ile, aliyehitimu shahada ya balehe ya kwanza (Bachelor Degree), na Uzamili mpaka uzamivu, na zote alizifanya kwa lugha ya kiingereza atoe hotuba kama hiyo. Ni kasoro kubwa sana sio tu kwake mwenyewe ila Hata kwa hao waliomtunuku. NASISITIZA KUNA TATIZO KUBWA SANA
 
Mshasahau walipoomba kura za ubunge Afrika Mashariki?

Kiingereza ni tatizo kutokana na elimu yetu. Na pia watu wengi wavivu kutafuta maarifa tofauti na fano walizosomea.

Akiwa rais namshauri awe na wakalimani kila.mara na atumie ti kiswahili.

Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?
 
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?

Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Asante, nimekuelewa vizuri.
Mimi nilihoji tu, ila NIMESHAMPIMA KWA VIGEZO VYANGU na kapita with flying colors, ndiye mwenye kura yangu tarehe 25.10.2015.

Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Wewe ni mjinga kabisa tena mpumbavu mkubwa. Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha zingine. Kuna marais wengi sana duniani hawajui kabisa kiingereza lakini wanafanya vizuri sana kwenye nchi zao na uchumi wa nchi zao uko juu sana mara 100 ya uchumi wetu Tanzania. Watu kama ninyi mmejaa fikira za kitumwa ndio maana mnaona kuongea kiingereza ni jambo la maana sana. Magufuli haombi kuwa rais wa Waingereza au Wamarekani, Magufuli anaomba kuwa rais wa Waswahili Watanzania wanaotumia Kiswahili kuzungumza kila siku. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Mkuu badala ya kutukana hebu tushawishi kwa hoja. Kwanza jibu haya maswali. Je, Mh. Magufuli hajui kiingereza? Kama hajui ni kwa nini? Je ni kwa sababu kiingereza si muhimu kama usemavyo hivyo akaamua kutokizingatia?
 
Mkuu uko sahihi. kwa sababu mtu ana PhD kote alikopita alitumia kiingereza sasa hivi ni kwa nini ana shida kiasi hiki? Hili ni swali la msingi sana
 
Nadhani kuna haja ya kujiuliza maswali mengi sana kuhusu wagombea. Hivi ni kwa nini push up tena kwenye jukwaa la kampeni? tafsiri yangu ya haraka ni kunnanga mpinzani wako mkuu kwamba hufai mimi nafa kwa kigezo hiki. sasa hii ni muhimu? kwa sababu watu wanajua kila kitu
 
Ukija kusikia mrussia anaongea kingereza ndo utajua kuna broken za maana hapa duniano lakini wanamaendeleo japo kiingereza hawajui sasa swali kingereza chake kiwe kizuri ama kibaya kitaleta maendeleo kivipi wacha kua mtumwa wa kiingereza
 
Ni hatari sana kuwa na Kiongozi aliyepata sehemu kubwa ya Elimu yake kwa njia ya kukariri, sio sifa waziri kukariri urefu wa barabara zote nchini na kufikiri ndio kiongozi bora, huyo hukariri kitabu kizima na kushinda mtihani, mtu wa namna hiyo sio self analyst na general knowledge yake ni ndogo sana, hafai kuwa kiongozi anafaa kuwa mtumishi chini ya kiongozi makini
 
Kiukweli Magufuli sijui hata imekuwaje akaonekana ana sifa za kugombea urais huko cccm. Yaani ule umaarufu wa kukariri kilometa za barabara ndio kimemfanya aonekane ndio bora kuliko wote? rais gani hawezi kuongea sentensii hata moja ya lugha ambayo ndiyo ameitumia kufanyia tasnifu yake? yaani usome tangu darsa la tatu mpaka ngazui ya PhD ukitumia kiingereza halafu eti huwei kutunga sentensi mja sahihi ya kiingereza? Watu wanaleta m,ambo ya Russia sijui china kule wao lugha yao wanayotumia kujufunzia ni za nchi zao sisi lugha yetu ni kiingereza ni medium of instruction and communication katika elimu. Sasa iweje mtu anayeomba nafsi ya juu kabisa katika nchi hajui lugha hii? tungekuwa hatutumii kingerezxa kwenye kufundishia na kwenye shghuli za serikali sawa lakini kiingereza ni official language hapa kwetu, kule Russia na china wanatumia lugha zao pekee. kwa hiyo sio sahihi kudai eti mbona Russia na china hawajui kingereza na wameendelea? sio sawa. Tungekuwa tunatumia Kiswahili km medium ya instruction shuleni na vyuoni na katika shughuli zote za serikali basi tusingemshngaa magufuli. PhD yake aliifanyaje? Au ni ya kuandikiwa?
 
Ukija kusikia mrussia anaongea kingereza ndo utajua kuna broken za maana hapa duniano lakini wanamaendeleo japo kiingereza hawajui sasa swali kingereza chake kiwe kizuri ama kibaya kitaleta maendeleo kivipi wacha kua mtumwa wa kiingereza
Acheni ujinga jamani warusi hawatumii kingerezaa km sehemu ya official language yao ukimsikia mrusia au mchina anaongea basi ujue kaamua tu kujifuza wa sabbu ni ziada. Ni kaa sis tujifnze kifranza over engs wetu ss ensh ni lugha muhim kwa shughuli ztu. Kwao englsh sio mumu hivo hawawajibii kukijua
 
Naona kingereza kinakunogea haya wacha wakijue watakuendeshea nchi vizuri ulimbukeni huu ndo maana hatuendelei kutawala nchi mpaka kingereza kinyooke
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal

Kwa sample choice yako wewe na methodology yako wewe na analysis yako wewe kwa mtazamo wako wewe matokeo hayo ni yako wewe
 
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?

Lini ushaskia waingereza kutembeza bakuli huku kwetu?

Ukiwa tegemezi, kuna vitu huwezi kukwepa.
 
Aiseeeeeee,Wajameni!!
Ikulu imevamiwa mwaka huu!
Yaani Doctor mzima na PhD yake hajui kuongea Kiingereza. Hii ni balaa!
Ndiyo maana sijawahi kusikia huyu Kilaza akitoa speech ya Kiingereza popote si ndani wala nje ya Tanzania! Kama kweli ataubahatisha Urahisi itabidi atembee na Mkalimani kwa kweli...............
 
QUOTE=;14126205]

"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to you.."

"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..

Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"

LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA
MHESHIMIWA LOWASA.

[/QUOTE]

Jamaa akiwa Shy jana anaongea kisukuma! Ni sheeeda!
 
Last edited by a moderator:
Kama hajui English ni advantage kwetu Tz safari za nje vitapungua uko wanaenda akina Migiro kumwakilisha.
Ila speech za raisi si huwa zaandikwa pale alikuwa akitoa kichwani izi za kuanikwa kama mseminari atazimudu tuu hasa inapokuwa ndefu atamudu akisimama mda mrefu

Akipata interview CNN itabidi augue ghafla tumbo la kuhara
 
china na mfanano wake wasiotumia kiingereza wana bargain interest zao ki aje boss na hao 1st world.

China na mfanano wake wasiotumia kiingereza, wanamfumo wao wa kupata elimu usiokuwa wa kiingereza. Hao wamesoma na wameelimika sana shida inakuwa kutumia elimu zao na utaalam mbali mbali katika fani zao katika lugha ngeni.

Huyu wa ccm, hajasoma. Kwa maana amekaa darasani bila kujua nini kinafundishwa na hivo anatoka bila elimu. Hawezi kusema amesoma wakati haelewi kilichokuwa kikihitajika akielewe. Uwezo wa kutuambia kwamba alielewa hana kwa sababu huwezi kuelewa lolote wakati lugha inayotumika huijui.

Huyu hata angepewe wakalimani hana cha kufanya kwa sababu hana ufahamu. Vinginevyo atuambie yeye elimu yake alisoma kwa ktumia lugha gani?
 
Back
Top Bottom