Clemford
Member
- Nov 26, 2011
- 63
- 91
Lazima ifike mahali tuambiane ukweli. Ni aibu sana kwa Msomi wa uzamivu katika fani yoyote ile, aliyehitimu shahada ya balehe ya kwanza (Bachelor Degree), na Uzamili mpaka uzamivu, na zote alizifanya kwa lugha ya kiingereza atoe hotuba kama hiyo. Ni kasoro kubwa sana sio tu kwake mwenyewe ila Hata kwa hao waliomtunuku. NASISITIZA KUNA TATIZO KUBWA SANA