Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Hizi PhD wanazopata viongozi wetu hasa kutoka vyuo vya hapa nchini ninamashaka nazo. Kitila ni mwalimu ktk chuo hicho alichopewa Magufuli PhD, sijui anaweza kutueleza chochote kuhusiana na PhD ya Magufuli?

Cc: Kitila Mkumbo
 
Mkuu mi nakuunga mkono nusu,labda kwenye swala la kingereza lakini kwa lugha yetu ya kiswahili huwezi linganisha magufuli na lowasa hata kidogo lowasa sidhani kama aliwahi jieleza hata kwa dk 15 yeye ni mwendo wa dk 5 tena hapo kajitahidi mbaya
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

huyu profesa mzima nae eti anajua kujua kiingereza ndo umemaliza kila kitu... si kama vipi sasa tuwabebe watoto wa chekechea wa uingereza waje wawe mawaziri na mmoja kati yao awe rais wetu? huu mfumo wetu wa elimu una nini aisee?
 
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk


nimesoma Art pure but nilifaulu masomo yote sayansi na Arts Google Obama alisoma nini halafu ujipime
 
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Mkuu msikilize Makongoro Nyerere linganisha na Lowassa, Nyerere yuko fluent katika uzungumzaji wake wa lugha ya kingereza kama alivyokuwa Baba yake, Mh.Mkapa, Jenerali Ulimwengu na JK just to mention a few - wote tajwa hapo juu hawana tatito la kufikilia maneno kwenye kiswahili kwanza kabla hawajatamka kwenye kingereza ndio maana flow ya maneno katika kutamka Kingereza yako flawless na hakuna time lag in between kifikilia na kutamka - vyote vinaonekana viko in sync.

Tatizo la Watanzania tulio wengi katika uzungumzaji wa Kingereza linatokana na sababu hiyo, hii haina maana kwamba hatujui kingereza wala nini sijui. Sasa kwa nini nimeleta video clip ya Mh.Makongoro, nataka kuonyesha kwamba hamuwezi kusema Mh.Lowassa anazungumza kingereza kizuri kuliko Dk.JPM, Lowassa kuna vitu vingine anachapia tu, kama uelewi kingereza vizuri unaweza kufikiri kapatia kweli kweli!!

 
Last edited by a moderator:
Makomeo hizi PHD za kupeana hiziii...mtu kwanza form three alifukuzwa seminari..

wengi sana tumefukuzwa seminari na wala sio kitu cha ajabu kwa sheria zao.. mi nilishawahi kufukuzwa seminari eti kisa nimeokota embe chini ya mti nikalila kwamba nilitakiwa nilipeleke ofisini wajue linagawanywa vipi kwa wanafunzi wote.. yani ile nawasimulia wazee wangu mpaka wanacheka tuu.. sio kama seminari ni wabaya ila kwa sheria zao practicality yake kwa kias kikubwa inawafaa malaika tu so siwezi kumnyima kura magufuli kisa alifukuzwa seminari
 
Magufuli yuko vizuri sana kwenye ngeli kjn hapo usijaribu utaumia sana lowasa mwenye hilo analijua
 

sasa we nae ni nini hiki umenyamba? jf mbona imejaa watu wa sampuli hizi siku hizi?? kwaiyo hata chuo kikuu cha st. pittsburg, pyong yang, havana na phnom penh kote hupewi piheichidii bila kujua kiingereza? una kazi sana mjomba
 
Inavyosemekana magufuli yuko vizuri mno kwenye maswala ya kuzungumza lugha mbali mbali kama vile ki ngereza,ki french, ki jerman ukija kwenye lu kabisagha za asili hapo ndipo hakamatiki
 

Sababu ni kufundishwa kwa Kiswahili? Suluhisho ni kufundishwa kwa Kiingereza?
 
Du eti Kikwete anazungumza kiingereza fluently? Unakumbuka siku ile walipofanya press conference na obama? Full kuchapia
 
Last edited by a moderator:

Magufuli ni bingwa wa kudesa!
 
vingereza havijengi barabara wala havichimbi mitaro jamani sana sana vinatusaidiaga kutongozea masista duu basi.. ila kiukweli hua nachukia kumkuta mtu tena mwanaume anamponda mwenzake kwamba hajui kiingereza.. kwani kiingereza ni nini zaid ya utumwa asee?
 
Alikua anafundishaje wanafunzi!? Kwa style hii mikataba fake na mibovu wixara ya ujenzo itakua ya kumwaga!! kama kutoa shukrani tu ni issue tunaelekea wapi watz!!?
 
[/QUOTE]

Hapa ndo ninapokuwa na mashaka na IQ za wafuasi wa ukawa nahisi kuna kiungo kingine huwa wanakitumia zaid kufikiri badala ya ubongo.... Hiv mgombea kujua kiingereza ww kama mwananchi wa kawaida inakusaidia nn? Mkishamaliza kiingereza mtakuja na kigezo cha u handsome/Beautiful Poor You!!!!

Mgombea bora ni yule ambaye ni muadilifu sio fisadi, mchapakazi, mwenye msimamo usiotetereka, anayetimiza majukum yake kwa kuzingatia sheria, Hizi sifa Lowasa hana hata moja hivyo hatufai... Sasa mnataka Rais awe fluently in English mmesikia ikulu anaenda kuendesha debate?

Hapa kwenyewe nina dogo langu la miaka 7 yuko year 2 linatema ngeri si masihara na sisi home tunaona ni kawaida tu kwa sababu ni lugha kama zilivyo lugha nyingine
 
Last edited by a moderator:

ulivomshobokea na maneno meeeengiiii kisa umeona huyu nae ni profesa,, we unajuaje kama nae sio profesa kihiyo? acha kujichoresha bwana
 

Hapa ndo ninapokuwa na mashaka na IQ za wafuasi wa ukawa nahisi kuna kiungo kingine huwa wanakitumia zaid kufikiri badala ya ubongo.... Hiv mgombea kujua kiingereza ww kama mwananchi wa kawaida inakusaidia nn? Mkishamaliza kiingereza mtakuja na kigezo cha u handsome/Beautiful Poor You!!!!

Mgombea bora ni yule ambaye ni muadilifu sio fisadi, mchapakazi, mwenye msimamo usiotetereka, anayetimiza majukum yake kwa kuzingatia sheria, Hizi sifa Lowasa hana hata moja hivyo hatufai... Sasa mnataka Rais awe fluently in English mmesikia ikulu anaenda kuendesha debate?

Hapa kwenyewe nina dogo langu la miaka 7 yuko year 2 linatema ngeri si masihara na sisi home tunaona ni kawaida tu kwa sababu ni lugha kama zilivyo lugha nyingine[/QUOTE]

Hatupeleki kituko kule ikulu,unataka dunia nzima itucheke kwa kuwa na rais asiyeweza kuongea hata sentensi moja fasaha ya kiingereza,kweli?
 
"I dont want to take this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to you.."

"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"


LINGANISHA NA MGOMBEA WA Ukawa MHESHIMIWA LOWASA.
/COLOR] [/QUOTE][/QUOTE]

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…