Hizi PhD wanazopata viongozi wetu hasa kutoka vyuo vya hapa nchini ninamashaka nazo. Kitila ni mwalimu ktk chuo hicho alichopewa Magufuli PhD, sijui anaweza kutueleza chochote kuhusiana na PhD ya Magufuli?
Cc: Kitila Mkumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi PhD wanazopata viongozi wetu hasa kutoka vyuo vya hapa nchini ninamashaka nazo. Kitila ni mwalimu ktk chuo hicho alichopewa Magufuli PhD, sijui anaweza kutueleza chochote kuhusiana na PhD ya Magufuli?
Mkuu mi nakuunga mkono nusu,labda kwenye swala la kingereza lakini kwa lugha yetu ya kiswahili huwezi linganisha magufuli na lowasa hata kidogo lowasa sidhani kama aliwahi jieleza hata kwa dk 15 yeye ni mwendo wa dk 5 tena hapo kajitahidi mbayamwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga pish up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Hawa wanaong'ang'ana ni wale huwa tunawaita Arts Pure.Huwa husoma masomo na hukuzania sana Kıswahl,Kıingere na Uraia.Wengi wao huwa hawana uwezo wa kutosha kıakili.Magufuli nı mwanasayansi na PhD yake n ya Chemistry,hana haja ya ngwine zenu,ıla kıchwa ni full charged.
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Makomeo hizi PHD za kupeana hiziii...mtu kwanza form three alifukuzwa seminari..
Profesa with all due respect....nyie ndio wa kulaumiwa! I can bet huyo magufuli hawezi kupata phD popote pale duniani kwa ung'eng'e huo isipokuwa phD ya UDSM tu!
So, tuseme wasomi wetu tunaowaamini wanauza hadi phD ?????? Maana tayari mtaani kwetu kuna kamsemo tunasemaga degree za vyupi!
Sina tatizo na lugha, ila nina tatizo na lugha kwa ulinganisho wa elimu kubwa aliyonayo! phD!!!!!!
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Du eti Kikwete anazungumza kiingereza fluently? Unakumbuka siku ile walipofanya press conference na obama? Full kuchapiaMkuu msikilize Makongoro Nyerere linganisha na Lowassa, Nyerere yuko fluent katika uzungumzaji wake wa lugha ya kingereza kama alivyokuwa Baba yake, Mh.Mkapa, Jenerali Ulimwengu na JK just to mention a few - wote tajwa hapo juu hawana tatito la kufikilia maneno kwenye kiswahili kwanza kabla hawajatamka kwenye kingereza ndio maana flow ya maneno katika kutamka Kingereza yako flawless na hakuna time lag in between kifikilia na kutamka - vyote vinaonekana viko in sync.
Tatizo la Watanzania tulio wengi katika uzungumzaji wa Kingereza linatokana na sababu hiyo, hii haina maana kwamba hatujui kingereza wala nini sijui. Sasa kwa nini nimeleta video clip ya Mh.Makongoro, nataka kuonyesha kwamba hamuwezi kusema Mh.Lowassa anazungumza kingereza kizuri kuliko Dk.JPM, Lowassa kuna vitu vingine anachapia tu, kama uelewi kingereza vizuri unaweza kufikiri kapatia kweli kweli!!
Kiukweli Magufuli sijui hata imekuwaje akaonekana ana sifa za kugombea urais huko cccm. Yaani ule umaarufu wa kukariri kilometa za barabara ndio kimemfanya aonekane ndio bora kuliko wote? rais gani hawezi kuongea sentensii hata moja ya lugha ambayo ndiyo ameitumia kufanyia tasnifu yake? yaani usome tangu darsa la tatu mpaka ngazui ya PhD ukitumia kiingereza halafu eti huwei kutunga sentensi mja sahihi ya kiingereza? Watu wanaleta m,ambo ya Russia sijui china kule wao lugha yao wanayotumia kujufunzia ni za nchi zao sisi lugha yetu ni kiingereza ni medium of instruction and communication katika elimu. Sasa iweje mtu anayeomba nafsi ya juu kabisa katika nchi hajui lugha hii? tungekuwa hatutumii kingerezxa kwenye kufundishia na kwenye shghuli za serikali sawa lakini kiingereza ni official language hapa kwetu, kule Russia na china wanatumia lugha zao pekee. kwa hiyo sio sahihi kudai eti mbona Russia na china hawajui kingereza na wameendelea? sio sawa. Tungekuwa tunatumia Kiswahili km medium ya instruction shuleni na vyuoni na katika shughuli zote za serikali basi tusingemshngaa magufuli. PhD yake aliifanyaje? Au ni ya kuandikiwa?
Ni daktari wa nini huyu magufuli??????????????
???????
???
?
[/QUOTE]QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.
Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?
Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?
Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"
LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA MHESHIMIWA LOWASA.
...lakini huyu jamaa Magufuli ni product ya doctorate zenu (nyingine za kimagumashi) mnazotoa hapo udsm prof....sishangai wengine hawa hata ku practice specialty zao huwa shida...na matokeo yake wanajiingiza kwenye siasa....haya ni sehmu ya matokeo y kazi yenu hap udsm prof....ndio maana hamlali mnalalamika wasomi wa kibongo kukosa kazi kwenye soko la ajira wanapopambanishwa na wenzao wa nje....
.....sishangai kuona wengi wa hawa wanaojiita wasomi kukimbilia kwenye siasa....Unategemea nini kama mtu mwenye PhD anashindwa hata ku construct sentensi ya kiingereza iliyonyooka??...alafu huyu akiwa rais akatuwakilisha nje tunachekwa sisi kama nchi ya hovyo isiyo na watu makini...maana tunachagua maboga kishabiki....
...coming to your recommended choice for president of TZ...ningependa sana kujua kwanini wewe uliwatosa wenzio wa ACT kwa nafasi hii muhimu pale walipokupendekeza???....huoni kuwa ulionyesha udhaifu kwa kukwepa kikombe hiki??...kama uliweza kukwepa imani iliyowekwa kwako...vipi leo tuamini choice yako kuwa sahihi???...kama kweli unajali quality....
dah mkemia huyu ni fundi wa makemikali kuna tatizo hapa Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
mwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga push up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa
JamiiForums
mwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga pish up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?