ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.
Kiukweli Magufuli sijui hata imekuwaje akaonekana ana sifa za kugombea urais huko cccm. Yaani ule umaarufu wa kukariri kilometa za barabara ndio kimemfanya aonekane ndio bora kuliko wote? rais gani hawezi kuongea sentensii hata moja ya lugha ambayo ndiyo ameitumia kufanyia tasnifu yake? yaani usome tangu darsa la tatu mpaka ngazui ya PhD ukitumia kiingereza halafu eti huwei kutunga sentensi mja sahihi ya kiingereza? Watu wanaleta m,ambo ya Russia sijui china kule wao lugha yao wanayotumia kujufunzia ni za nchi zao sisi lugha yetu ni kiingereza ni medium of instruction and communication katika elimu. Sasa iweje mtu anayeomba nafsi ya juu kabisa katika nchi hajui lugha hii? tungekuwa hatutumii kingerezxa kwenye kufundishia na kwenye shghuli za serikali sawa lakini kiingereza ni official language hapa kwetu, kule Russia na china wanatumia lugha zao pekee. kwa hiyo sio sahihi kudai eti mbona Russia na china hawajui kingereza na wameendelea? sio sawa. Tungekuwa tunatumia Kiswahili km medium ya instruction shuleni na vyuoni na katika shughuli zote za serikali basi tusingemshngaa magufuli. PhD yake aliifanyaje? Au ni ya kuandikiwa?
mazafaka yuu
dah mkemia huyu ni fundi wa makemikali kuna tatizo hapa
Tokea lini kiingereza imekuwa lugha ya taifa?
Kama profesa anaamini kuwa mama Anna atashinda, unategemea product/ wanafunzi waweje?Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Huyo ndo mzuri, ataogopa kusafiri kwenda kuomba omba, badala yake atapiga kazi tu kukidhi mahitaji ya Taifa.
Marais wengi tu duniani hawajui kiingereza, kiingereza ni kilugha tu kama kisukuma na kinyaru, acheni colonial mentality and ineriority complex.
Hoja yangu imekublow ukaamua kutukana kabisa? Tatizo kubwa la Magufuli ni kwamva hajui kwamba hajui. Na pale alikuwa anaongea kwa confidence kabisa! Ni hatari sana kwa mtu anayetaka nafasi ya urais!
Kazi ya urais kuna wakati unalazimika kutoka nje. Waziri mkuu ndiye anapaswa kuwajibika ndani
Tatizo ni kwama zaidi ya asilimia themanini na tano (85%) ya wapiga kura wala hawawezi kutofautisha kati ya hizo video mbili achilia mbali hata kuelewa ujumbe unaotaka kuuleta, hivyo unapoteza muda wako!
WatanZania wameshamkubali Dr.Pombe Maagufuli huko Mikoani na vijijini wa kuwa amesimamia na kuhakikisha barabara zinapitika na sasa Mkazi wa Mtwara anaweza kwenda Dar na kurudi, mkazi wa Kahama akipanda basi asubuhi jioni yuko Dar, mkazi wa Iringa hana haja ya kuja mpaka Morogoro ili aende Dodoma, Arusha au hata Tabora haya ndiyo mambo ambayo wapiga kura wengi wanaangalia na siyo sijui Colombia University na ndiyo maana fisadi Lowasa na Genge lake watashindwa vibaya sana kwa maana wamepoteza uhalisia wanafikiri huu uchaguzi kati ya republican na Democrats wa Marekani hivyo kuleta vigezo vinavyotumiwa na Marekani!
Kwa kifupi wafuasi wa ukawa wana IQ ndogo sana!
Akili za kijinga hizi.mbona wajapani wanapata PhD zao na kiingereza hawajui na mkiwaona mnawasifia? Pumbavu sana.
Ni kweli, ila ishu ya hapa ni je doctorate yake aliipata kwa lugha gani? maana haiwezekani kama mtu uko sawa ukasoma mpaka Phd kwa lugha ya kizungu alafu sentence rahisi tu ya kizungu ukashindwa unga! Hapa ni kwamba eidha mtu haufundishiki au ulikuwa haufiki darasani ila umepitishwa tu na kupewa elimu uliyonayo, haukuitafuta!
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
hahahaha nimecheka sana aisee ilonalo neno duh