Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.

we mshamba kina gaddafi walikua wanaongea nini UN?? Putin hua anaongea lugha gani UN?! watu humu hua mnaongea vitu vya kijinga mpaka wakati mwingine nataman niwatie konzi
 

Kuishiwa hoja huko...kiingereza kinahusiana vip na maendeleo yetu..[/QUOTE]

Mleta mada amesema wenye ufahamu tujadiliane,sasa nashangaa na nyinyi msio na ufahamu nao mmekuwa na kiherehere cha kuvamia mada
 
Kiukweli Magufuli sijui hata imekuwaje akaonekana ana sifa za kugombea urais huko cccm. Yaani ule umaarufu wa kukariri kilometa za barabara ndio kimemfanya aonekane ndio bora kuliko wote? rais gani hawezi kuongea sentensii hata moja ya lugha ambayo ndiyo ameitumia kufanyia tasnifu yake? yaani usome tangu darsa la tatu mpaka ngazui ya PhD ukitumia kiingereza halafu eti huwei kutunga sentensi mja sahihi ya kiingereza? Watu wanaleta m,ambo ya Russia sijui china kule wao lugha yao wanayotumia kujufunzia ni za nchi zao sisi lugha yetu ni kiingereza ni medium of instruction and communication katika elimu. Sasa iweje mtu anayeomba nafsi ya juu kabisa katika nchi hajui lugha hii? tungekuwa hatutumii kingerezxa kwenye kufundishia na kwenye shghuli za serikali sawa lakini kiingereza ni official language hapa kwetu, kule Russia na china wanatumia lugha zao pekee. kwa hiyo sio sahihi kudai eti mbona Russia na china hawajui kingereza na wameendelea? sio sawa. Tungekuwa tunatumia Kiswahili km medium ya instruction shuleni na vyuoni na katika shughuli zote za serikali basi tusingemshngaa magufuli. PhD yake aliifanyaje? Au ni ya kuandikiwa?

mazafaka yuu
 
Tokea lini kiingereza imekuwa lugha ya taifa?
 
mazafaka yuu

Hoja yangu imekublow ukaamua kutukana kabisa? Tatizo kubwa la Magufuli ni kwamva hajui kwamba hajui. Na pale alikuwa anaongea kwa confidence kabisa! Ni hatari sana kwa mtu anayetaka nafasi ya urais!
 
Huyo ndo mzuri, ataogopa kusafiri kwenda kuomba omba, badala yake atapiga kazi tu kukidhi mahitaji ya Taifa.

Marais wengi tu duniani hawajui kiingereza, kiingereza ni kilugha tu kama kisukuma na kinyaru, acheni colonial mentality and ineriority complex.
Washaurini viongozi wa kitafa wawe wanatumia kiswahili wanavaa vile vidude. Maana wakiongea kiswahili wanauwezo wa kujenga hoja zaidi ya kutumia kiingereza. Angela wa ujerumani ni profesa na kiingereza anajua lakini hua anatumia vidude ili asiingizwe kingi.
 
Tokea lini kiingereza imekuwa lugha ya taifa?

Sio lugha ya taifa bali ni official language. Yaani tunachoshangaa sisi ni hivi ilikuwake apite madarasa yote hayo ambayo yanafundisha kwa kiingereza mpaka ngazi ya phd leo eti hawezi kuzungumza sentensi moja iliyonyooka ya kiingereza? Hatusemi kwamba kujua kiingereza ni ufahari bali sio kitu cja kuuliza kwa mtu wa level ya phd. Au anajua kukariri tu. Kikwete na Mkapa mtu gani huyu mmetuletea?
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kama profesa anaamini kuwa mama Anna atashinda, unategemea product/ wanafunzi waweje?
 
Huyo ndo mzuri, ataogopa kusafiri kwenda kuomba omba, badala yake atapiga kazi tu kukidhi mahitaji ya Taifa.

Marais wengi tu duniani hawajui kiingereza, kiingereza ni kilugha tu kama kisukuma na kinyaru, acheni colonial mentality and ineriority complex.

Kazi ya urais kuna wakati unalazimika kutoka nje. Waziri mkuu ndiye anapaswa kuwajibika ndani
 
Hoja yangu imekublow ukaamua kutukana kabisa? Tatizo kubwa la Magufuli ni kwamva hajui kwamba hajui. Na pale alikuwa anaongea kwa confidence kabisa! Ni hatari sana kwa mtu anayetaka nafasi ya urais!

mazafaka yuu
 
Kazi ya urais kuna wakati unalazimika kutoka nje. Waziri mkuu ndiye anapaswa kuwajibika ndani

Ma rais 90% karibu hawajui kiingereza, ina maana hua hawatoki? tuache Colonial mentality tujikite kwenye core business yetu.
 
Hii itapendeza,mchagueni tu kwan safari za nje kama baba Riz alizokuwa anapiga hazitakuwepo tena,kwan atakuwa anaogopa kusafiri kisa Lugha😁
 
Tatizo ni kwama zaidi ya asilimia themanini na tano (85%) ya wapiga kura wala hawawezi kutofautisha kati ya hizo video mbili achilia mbali hata kuelewa ujumbe unaotaka kuuleta, hivyo unapoteza muda wako!

WatanZania wameshamkubali Dr.Pombe Maagufuli huko Mikoani na vijijini wa kuwa amesimamia na kuhakikisha barabara zinapitika na sasa Mkazi wa Mtwara anaweza kwenda Dar na kurudi, mkazi wa Kahama akipanda basi asubuhi jioni yuko Dar, mkazi wa Iringa hana haja ya kuja mpaka Morogoro ili aende Dodoma, Arusha au hata Tabora haya ndiyo mambo ambayo wapiga kura wengi wanaangalia na siyo sijui Colombia University na ndiyo maana fisadi Lowasa na Genge lake watashindwa vibaya sana kwa maana wamepoteza uhalisia wanafikiri huu uchaguzi kati ya republican na Democrats wa Marekani hivyo kuleta vigezo vinavyotumiwa na Marekani!

Kwa kifupi wafuasi wa ukawa wana IQ ndogo sana!

Nilifikiri utasema treni za umeme kama kenya! Barabara ni wajibu wa kila serikali na sio ahadi ya kampeni!
 
Ni kweli, ila ishu ya hapa ni je doctorate yake aliipata kwa lugha gani? maana haiwezekani kama mtu uko sawa ukasoma mpaka Phd kwa lugha ya kizungu alafu sentence rahisi tu ya kizungu ukashindwa unga! Hapa ni kwamba eidha mtu haufundishiki au ulikuwa haufiki darasani ila umepitishwa tu na kupewa elimu uliyonayo, haukuitafuta!

Mtu kushindwa kuongea vizuri hiyo lugha haina maana kuwa na darasani alikuwa haelewi,kuongea ni suala lengine kabisa na ndiyo maana mnajiuliza hiyo Phd kaipataje na,kushindwa kupata jibu, sababu mnachanganya vitu bila hata kuelewa.
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

I am sorry to have said this to you my brother:
Tanzania is not ready at all to be lead by a Woman as a PRESIDENT!!!Frank speaking from the inner most of your heart...you know this neither be after 50ys come...."IN THE BEGINING GOD CRATED A MAN"

NI KWEI KUTOJUA LUGHA SIO UJINGA LAKINI PHD?? KUJIELEZEA TU HAWEZI?? ANANIAIBISHA HATA KUJIITA MSEMINARI WA ZAMANI!!!KHA!!! ELIMU YETU AJANGA....NDI MAAANA TUNATAKIMBIA MAJIRANI ZETU....LOWASA KWANZA!!!
 
hahahaha nimecheka sana aisee ilonalo neno duh

Wasukuma sio watz? Nyie ropokeni kipumbavu wakiamua wasukuma kushika dola mtaishia maneno tu. Walinyimwa elimu ili watawaliwe na nyie. Ebbo!
 
Back
Top Bottom