Kiukweli Magufuli sijui hata imekuwaje akaonekana ana sifa za kugombea urais huko cccm. Yaani ule umaarufu wa kukariri kilometa za barabara ndio kimemfanya aonekane ndio bora kuliko wote? rais gani hawezi kuongea sentensii hata moja ya lugha ambayo ndiyo ameitumia kufanyia tasnifu yake? yaani usome tangu darsa la tatu mpaka ngazui ya PhD ukitumia kiingereza halafu eti huwei kutunga sentensi mja sahihi ya kiingereza? Watu wanaleta m,ambo ya Russia sijui china kule wao lugha yao wanayotumia kujufunzia ni za nchi zao sisi lugha yetu ni kiingereza ni medium of instruction and communication katika elimu. Sasa iweje mtu anayeomba nafsi ya juu kabisa katika nchi hajui lugha hii? tungekuwa hatutumii kingerezxa kwenye kufundishia na kwenye shghuli za serikali sawa lakini kiingereza ni official language hapa kwetu, kule Russia na china wanatumia lugha zao pekee. kwa hiyo sio sahihi kudai eti mbona Russia na china hawajui kingereza na wameendelea? sio sawa. Tungekuwa tunatumia Kiswahili km medium ya instruction shuleni na vyuoni na katika shughuli zote za serikali basi tusingemshngaa magufuli. PhD yake aliifanyaje? Au ni ya kuandikiwa?