Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane


Alikariri kwa lugha gani na mitihani alijibu kwa lugha gani ?
 

Unaamini kweli unaweza kupata hadi Phd bila kujua lugha uliyotumia kufundishiwa?
 
lakini sio kwa mwenye PHD coz lugha inayotumika kufundishia Tz ni kiingereza,hapo kuna??? kuhusu hizo shahada zao
 

Kwahiyo Magufuli hata china angeweza kusoma na kupata Phd bila kuelewa kichina?
 
Yaani wewe ni kichekesho. Kiingereza chako kibovu na Kiswahili chako nacho taabu tupu. Sasa ndio umeandika nini hapa? Unamcheka Magufuli wakati wewe mwenyewe ni kituko.
 
Rais aliyefukuzwa shule akiwa seminary na kuja kusoma lake shule ya wahun enz hzo atajua Lin kiingereza sasa kma sio matan hay wenzie wanasoma ye anafanya ujinga ujinga tu
 

Mtu kushindwa kuongea lugha vizuri ndiyo kipimo cha kusema huyo mtu hajui kabisa hiyo lugha?
 
[/QUOTE]

Hahaha...aisee mkuu ndio nimefungua sasahv nimecheka sana ila pia ninaihurumia nchi yangu kama kweli Magufuli aliongea hivi kwa kukusudia kabisa,au labda alikuwa katika kutania bana,
 
Last edited by a moderator:
Mtu kushindwa kuongea lugha vizuri ndiyo kipimo cha kusema huyo mtu hajui kabisa hiyo lugha?
Hawa jamaa ndio maana Mkapa aliwaita wapumbavu, mbumbumbu na malofa. Wanadai wanataka kumkomboa mtanzania toka kwa "mkoloni mweusi" wakati huo huo wao wenyewe bado wamegubikwa na kasumba za kikoloni. Wanadhani watanzania ni wajinga. Watakipata safari hii.
 


Kusema kweli ilipoanza tu nikajikuta nimefumba mdomo, ilipofika nusu nikashika kichwa!!! Aiiibuuu!!! Alafu anajiita dr duuuuuhhh!!!

Kama rais hana communication skills, ataweza ongea UN au EU???? Au unataka akiwa anahutubia tuzime Tv???? Ataweza kusoma na kuelewa mikataba hasa ya nje??? Huu si ujinga huu???

Kwa kifupi jamaa hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji!!!
 
We should have a diplomat English courses coz our leaders are very poor in English language, you can't talk about economy or political issues if your English is not perfect.
 
tusipotoshane mfumo wetu wa elimu ni kiingereza kuanzia O LEVEL hadi huko alipo huyo mheshimiwa,usifananishe na China

Sijafananisha na china nilichouliza ni kwamba Magufuli hata china angeweza kusoma pia bila hata kuelewa kichina kama ambavyo huku ameweza kusoma bila kujua kiingereza?
 

Sisi hatukumlazimisha kuongea kingereza wala wageni wake hao hawakumlazimisha. Yeye alijua hamudu kingereza kwa nini alilazimisha kuongea kama yeye ni rational thinker.
Ngoja nibonyeze replay nicheke tena, mr president wanna be.
 
Sisi hatukumlazimisha kuongea kingereza wala wageni wake hao hawakumlazimisha. Yeye alijua hamudu kingereza kwa nini alilazimisha kuongea kama yeye ni rational thinker.
Ngoja nibonyeze replay nicheke tena, mr president wanna be.
Huyo Che Guevara angesikia haya mawazo yako ya kitumwa angekuona hamnazo. Umechanganyikiwa.
 
Mtu kushindwa kuongea lugha vizuri ndiyo kipimo cha kusema huyo mtu hajui kabisa hiyo lugha?


Magufuli hajui kabisa kingereza na hakufanya presentation ya academic research papers ambazo ni mandatory kwa elimu anayodai kuwa nayo. Huyu amekosa sifa ya kugombea uraisi wa Tanzania. Hatuwezi kuwa na mgombea mwevye vyeti vya magumashi.
 
Magufuli... hakufanya presentation ya academic research papers ambazo ni mandatory kwa elimu anayodai kuwa nayo...
Huna lolote la maana. Toa ushahidi wa hayo madai yako kwanza na sio kuleta porojo.
 
Hahaha...aisee mkuu ndio nimefungua sasahv nimecheka sana ila pia ninaihurumia nchi yangu kama kweli Magufuli aliongea hivi kwa kukusudia kabisa,au labda alikuwa katika kutania bana,[/QUOTE]


Magufuli kama alisema 'SADDAM WA LIBYA" na baada ya kujiona kakosea akarekebisha kwa kusema "SADDAM WA KUWAIT", kuwa haya MAKAMBO TOLEKA, ni mwendelezo wa kujidhirisha yeye nani. Ninaungana na Prof. Kitila Mkumbo kuona kwamba tatizo la Magufuli haliishii kwenye lugha tu bali linakwenda mbali zaidi. SHIDA YAKE IKO KUBWA KULIKO HAYA MAKAMBO. " Makambo Toleka" haya ni ishara ya huyu mtu ni wa aina gani. Hafai kwa lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…