UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Ni hatari sana kuwa na Kiongozi aliyepata sehemu kubwa ya Elimu yake kwa njia ya kukariri, sio sifa waziri kukariri urefu wa barabara zote nchini na kufikiri ndio kiongozi bora, huyo hukariri kitabu kizima na kushinda mtihani, mtu wa namna hiyo sio self analyst na general knowledge yake ni ndogo sana, hafai kuwa kiongozi anafaa kuwa mtumishi chini ya kiongozi makini
Alikariri kwa lugha gani na mitihani alijibu kwa lugha gani ?