Huna lolote la maana. Toa ushahidi wa hayo madai yako kwanza na sio kuleta porojo.
Ha ha ha. Naona unaanza kuweweseka. Unatia huruma.Level yako wewe ni magufuli namba uondoke kwangu. Sinaga muda wa kusema na mijitu yenye constipation kichwani na diarrhea midomoni.
Nenda kajiharishie huko. Hapa wanajadili watu wenye ufahamu tu siyo mijuha kama wewe. Hujui hata kusoma?
tusipotoshane mfumo wetu wa elimu ni kiingereza kuanzia O LEVEL hadi huko alipo huyo mheshimiwa,usifananishe na China
Ha ha ha. Naona unaanza kuweweseka. Unatia huruma.
Acha ufala wewe. Lugha zisizo na staha nani anashindwa dunia hii? Unajidhalilisha.Hivi wewe mbweha kwa nini usiende kufa badala ya kung'ang'ana na mimi hapa? Pumbavu hujitambui. Juha nambari one, kafie mbali nimekuambia mimi siyo saizi yako. Pumbavu kweli kweli.
Nenda kawwambie kina Mwigulu wakupe payments za kukesha ukiharisha mtandaoni ili ukanunue japo kilo ya sukari. Pumbavu kweli.
Pambana kwa hoja na sio kuleta matusi na kulialia kwa Mods kama mtoto mdogo....MODS: Naomba ongezeeni menu ya ku "block" mijiuha inayovuruga majadiliano hapa mitandaoni kwa upumbavu bila hoja kama hili juha linalojiita rungu. Linaboa kweli kweli.
Alikua anafundishaje wanafunzi!? Kwa style hii mikataba fake na mibovu wixara ya ujenzo itakua ya kumwaga!! kama kutoa shukrani tu ni issue tunaelekea wapi watz!!?
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
sasa we nae ni nini hiki umenyamba? Jf mbona imejaa watu wa sampuli hizi siku hizi?? Kwaiyo hata chuo kikuu cha st. Pittsburg, pyong yang, havana na phnom penh kote hupewi piheichidii bila kujua kiingereza? Una kazi sana mjomba
Profesa hapa ndipo wasomi wetu mnatusikitisha, you are the ones who are supposed to enlighten us on this. The President, ministers and parliamentarians are supposed to be smart, enlightened and capable. Nyie watu wa mlimani mnatakiwa kutusaidia tupate mfumo unaolingana na mazingira na mahitaji ya Tanzania, na sio kuinga mifumo ya Ulaya au mfumo wa CCM ambao umetufikisha pabaya. Naungana na wewe unaposema kuwa tatizo kwenye kiingereza ni dalili la tatizo kubwa kwenye mengine, lakini how do we evaluate aspirants on their abilities on weledi na mantiki?.
Ukiangalia wabunge wetu unaweza hata kulia na kujiuliza wamefikaje huko most are 0 in weledi na Mantiki. Hata sisi ma-laymen tulio nje tunaona kuwa wako ovyo. Kisingizio ni demokrasia...you guys need to come up with a way to help us out. We do have a fcked up system which elevates mazomz and suppresses wazuri.
we mshamba kina gaddafi walikua wanaongea nini UN?? Putin hua anaongea lugha gani UN?! watu humu hua mnaongea vitu vya kijinga mpaka wakati mwingine nataman niwatie konzi
Huyo ndo mzuri, ataogopa kusafiri kwenda kuomba omba, badala yake atapiga kazi tu kukidhi mahitaji ya Taifa.
Marais wengi tu duniani hawajui kiingereza, kiingereza ni kilugha tu kama kisukuma na kinyaru, acheni colonial mentality and ineriority complex.
Washaurini viongozi wa kitafa wawe wanatumia kiswahili wanavaa vile vidude. Maana wakiongea kiswahili wanauwezo wa kujenga hoja zaidi ya kutumia kiingereza. Angela wa ujerumani ni profesa na kiingereza anajua lakini hua anatumia vidude ili asiingizwe kingi.
Wanasifiwa kwa ajili ya maendeleo waliyo nayo! Tanzania sio Japan!
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?
Mtoa mada nassume hii clip haijachezewa ili nimtendee haki pombe.
Duh jamani mbona aibu? Mliocheka mlipaswa kulia bila kujali itikadi zenu huyu ni waziri wa JMT anatuwakilisha wote kwa huu ugeni.Binafsi imekuwa ngumu kuamini kwamba former teacher huyu ambaye ni Phd holder (wakusomea sio ya heshima) hawezi kutofautisha kati ya singular na plural. Waalimu wengi wako vzr hili eneo hata kama ni wa chemistry-hakuna excuse kwenye hili lets be fair. Naona hata mgeni anayemwagiwa hii broken yuko puzzled haamini anachokisikia toka kwa senior minister wetu.
Mzee makamba ulitukana sana Kigoma ukimfagilia pombe kwamba ni msomi, ndio usomi huu ulimaanisha? Kingine kilichonisumbua ni kwamba hii shuguli ilikuwa rasmi ndio maaana amevaa mpk tai (mara nyingi havai) so alijiandaa kuzungumza. Kama broken hii iliandaliwa, kithungu chake cha kustukiza kikoje? Mmh imbombo ngafu tena jilipo kwa mtindo huu kwa kweli.
Whats wrong with that? Everybody knows he`s no English or American.