Profesa hapa ndipo wasomi wetu mnatusikitisha, you are the ones who are supposed to enlighten us on this. The President, ministers and parliamentarians are supposed to be smart, enlightened and capable. Nyie watu wa mlimani mnatakiwa kutusaidia tupate mfumo unaolingana na mazingira na mahitaji ya Tanzania, na sio kuinga mifumo ya Ulaya au mfumo wa CCM ambao umetufikisha pabaya. Naungana na wewe unaposema kuwa tatizo kwenye kiingereza ni dalili la tatizo kubwa kwenye mengine, lakini how do we evaluate aspirants on their abilities on weledi na mantiki?.
Ukiangalia wabunge wetu unaweza hata kulia na kujiuliza wamefikaje huko most are 0 in weledi na Mantiki. Hata sisi ma-laymen tulio nje tunaona kuwa wako ovyo. Kisingizio ni demokrasia...you guys need to come up with a way to help us out. We do have a fcked up system which elevates mazomz and suppresses wazuri.