Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Huna lolote la maana. Toa ushahidi wa hayo madai yako kwanza na sio kuleta porojo.

Level yako wewe ni magufuli namba uondoke kwangu. Sinaga muda wa kusema na mijitu yenye constipation kichwani na diarrhea midomoni.

Nenda kajiharishie huko. Hapa wanajadili watu wenye ufahamu tu siyo mijuha kama wewe. Hujui hata kusoma?
 
Ha ha ha. Naona unaanza kuweweseka. Unatia huruma.
 
tusipotoshane mfumo wetu wa elimu ni kiingereza kuanzia O LEVEL hadi huko alipo huyo mheshimiwa,usifananishe na China

Magufuli ni mburura tu kwa kuwa hakuna mtu msomi aliyesoma hata kama ni english coz tu ya miezi 6 ataongea kiingereza cha fedheha kama huyu mtu.

Kwa hiyo hata kusema kwamba "SADDAM ALIKUWA RAISI WA LIBYA/KUWAIT"

​NAYO ILIKUWA NI KWA SABABU YA KIINGEREZA?
 
Ha ha ha. Naona unaanza kuweweseka. Unatia huruma.

Hivi wewe mbweha kwa nini usiende kufa badala ya kung'ang'ana na mimi hapa? Pumbavu hujitambui. Juha nambari one, kafie mbali nimekuambia mimi siyo saizi yako. Pumbavu kweli kweli.

Nenda kawwambie kina Mwigulu wakupe payments za kukesha ukiharisha mtandaoni ili ukanunue japo kilo ya sukari. Pumbavu kweli.

MODS: Naomba ongezeeni menu ya ku "block" mijiuha inayovuruga majadiliano hapa mitandaoni kwa upumbavu bila hoja kama hili juha linalojiita rungu. Linaboa kweli kweli.
 
Hatutafuti mtaalamu wa kiingereza. Tunatafuta mtanzania jasiri asiyeogopa mtu wala uchawi, vitisho, na ambaye ni mchapakazi, mwadilifu na mfuatiliaji na anayetujua kuwa sisi ni wavivu, wababaishaji na kiswahili kirefu hivyo aweze kutuswaga tuwe productive. Hayo ya kiingereza chake ni yako wewe na mkeo na wanao.
 
Hivi wewe mbweha kwa nini usiende kufa badala ya kung'ang'ana na mimi hapa? Pumbavu hujitambui. Juha nambari one, kafie mbali nimekuambia mimi siyo saizi yako. Pumbavu kweli kweli.

Nenda kawwambie kina Mwigulu wakupe payments za kukesha ukiharisha mtandaoni ili ukanunue japo kilo ya sukari. Pumbavu kweli.
Acha ufala wewe. Lugha zisizo na staha nani anashindwa dunia hii? Unajidhalilisha.
 
...MODS: Naomba ongezeeni menu ya ku "block" mijiuha inayovuruga majadiliano hapa mitandaoni kwa upumbavu bila hoja kama hili juha linalojiita rungu. Linaboa kweli kweli.
Pambana kwa hoja na sio kuleta matusi na kulialia kwa Mods kama mtoto mdogo.
 
Alikua anafundishaje wanafunzi!? Kwa style hii mikataba fake na mibovu wixara ya ujenzo itakua ya kumwaga!! kama kutoa shukrani tu ni issue tunaelekea wapi watz!!?

Tatizo limekua zaidi kwa kuwa na raisi mswahili ambaye kwake elimu siyo tija. Nani asiyejua kikwete kaua Tanzania? Mtawala makini, hawezi kukurupuka kuleta mtu kama huyu eti angombea uraisi wa nchi.

Hii ni fedheha.

Lakini tunatakiwa kumshukuru Mungu kwa kiburi cha kumleta huyu mtu kwetu, Mungu ameiweka ccm chini ya Watanzania. Tarehe 25 wanaua ki urahisi dude lililotutesa na kutumaliza bila haya wala huruma.

Ccm kafie mbali!
 
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.

Profesa hapa ndipo wasomi wetu mnatusikitisha, you are the ones who are supposed to enlighten us on this. The President, ministers and parliamentarians are supposed to be smart, enlightened and capable. Nyie watu wa mlimani mnatakiwa kutusaidia tupate mfumo unaolingana na mazingira na mahitaji ya Tanzania, na sio kuinga mifumo ya Ulaya au mfumo wa CCM ambao umetufikisha pabaya. Naungana na wewe unaposema kuwa tatizo kwenye kiingereza ni dalili la tatizo kubwa kwenye mengine, lakini how do we evaluate aspirants on their abilities on weledi na mantiki?.

Ukiangalia wabunge wetu unaweza hata kulia na kujiuliza wamefikaje huko most are 0 in weledi na Mantiki. Hata sisi ma-laymen tulio nje tunaona kuwa wako ovyo. Kisingizio ni demokrasia...you guys need to come up with a way to help us out. We do have a fcked up system which elevates mazomz and suppresses wazuri.
 
sasa we nae ni nini hiki umenyamba? Jf mbona imejaa watu wa sampuli hizi siku hizi?? Kwaiyo hata chuo kikuu cha st. Pittsburg, pyong yang, havana na phnom penh kote hupewi piheichidii bila kujua kiingereza? Una kazi sana mjomba

kama degree za magufuli ni za kupewa na si za kusomea, nyoosheni maelezo.
 
Profesa hapa ndipo wasomi wetu mnatusikitisha, you are the ones who are supposed to enlighten us on this. The President, ministers and parliamentarians are supposed to be smart, enlightened and capable. Nyie watu wa mlimani mnatakiwa kutusaidia tupate mfumo unaolingana na mazingira na mahitaji ya Tanzania, na sio kuinga mifumo ya Ulaya au mfumo wa CCM ambao umetufikisha pabaya. Naungana na wewe unaposema kuwa tatizo kwenye kiingereza ni dalili la tatizo kubwa kwenye mengine, lakini how do we evaluate aspirants on their abilities on weledi na mantiki?.

Ukiangalia wabunge wetu unaweza hata kulia na kujiuliza wamefikaje huko most are 0 in weledi na Mantiki. Hata sisi ma-laymen tulio nje tunaona kuwa wako ovyo. Kisingizio ni demokrasia...you guys need to come up with a way to help us out. We do have a fcked up system which elevates mazomz and suppresses wazuri.

Mkuu, no one could have said it better!
 
we mshamba kina gaddafi walikua wanaongea nini UN?? Putin hua anaongea lugha gani UN?! watu humu hua mnaongea vitu vya kijinga mpaka wakati mwingine nataman niwatie konzi

Nao walipata elimu zao katika lugha ya kiingereza halafu wakawa hawakijui?
 
Huyo ndo mzuri, ataogopa kusafiri kwenda kuomba omba, badala yake atapiga kazi tu kukidhi mahitaji ya Taifa.

Marais wengi tu duniani hawajui kiingereza, kiingereza ni kilugha tu kama kisukuma na kinyaru, acheni colonial mentality and ineriority complex.
Washaurini viongozi wa kitafa wawe wanatumia kiswahili wanavaa vile vidude. Maana wakiongea kiswahili wanauwezo wa kujenga hoja zaidi ya kutumia kiingereza. Angela wa ujerumani ni profesa na kiingereza anajua lakini hua anatumia vidude ili asiingizwe kingi.

Umesema kweli. Kuna maraisi wengi duniani hawajui kiingereza. Hao wasiojua kiingereza, nao walisoma elimu zao kwa kutumia kiingereza halafu wakawa hawakijui? Naomba jibu.
 
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?

Kwa hiyo kwako suala zima la elimu ya mgombea ni mchele mchele?
 
Juzi nilihudhuria mkutano wa mama Samia Suluhu, ah nilichoka. Mama anawaambia wananchi ilani ya ccm ipo ktkt vijitabu na hata katika e-mail (sorry!!!) ya ccm!!!

Common logic tofauti ya e-mail na website makamu wa rais HAJUI????

Na sasa, tuna huyu RAIS wa namna hii. Tukiwachagua hawa naapa tuhesabu maumivu makali sana.
 
Mtoa mada nassume hii clip haijachezewa ili nimtendee haki pombe.

Duh jamani mbona aibu? Mliocheka mlipaswa kulia bila kujali itikadi zenu huyu ni waziri wa JMT anatuwakilisha wote kwa huu ugeni.Binafsi imekuwa ngumu kuamini kwamba former teacher huyu ambaye ni Phd holder (wakusomea sio ya heshima) hawezi kutofautisha kati ya singular na plural. Waalimu wengi wako vzr hili eneo hata kama ni wa chemistry-hakuna excuse kwenye hili lets be fair. Naona hata mgeni anayemwagiwa hii broken yuko puzzled haamini anachokisikia toka kwa senior minister wetu.

Mzee makamba ulitukana sana Kigoma ukimfagilia pombe kwamba ni msomi, ndio usomi huu ulimaanisha? Kingine kilichonisumbua ni kwamba hii shuguli ilikuwa rasmi ndio maaana amevaa mpk tai (mara nyingi havai) so alijiandaa kuzungumza. Kama broken hii iliandaliwa, kithungu chake cha kustukiza kikoje? Mmh imbombo ngafu tena jilipo kwa mtindo huu kwa kweli.

UKOO WA CCM WANATAKA MBURURA ASIYEJUA LUGHA HUKU HAJUI KAMA HAJUI ILI WAMTUMIE.

WANATAKA RAISI JUHA ANAYEROPOKA SADDAM ALIKUWA RAISI WA LIBYA/KUWAIT.

RAISI ASIYEJUA KWA NINI NCHI YAKE NI MASKINI

MWENYE MAWAZO YA KIJIMA PASIPO KUWA NA MTAZAMO WA DUNIA YA KIMATAIFA NA UHUSIANO WAKE NA MAISHA YA KILA BINADAMU.

MTU AMBAYE MKIMWAMBIE TZ INA UPUNGUFU WA DOLLA ANAAMRISHA TU "GOVERNOR, NAKUPA SIKU TATU DOLLAR ZA MAREKANI ZIWE ZIMEPRINTIWA ZA KUTOSHA. ZIKIPUNGUA TENA NAKUWAJIBISHA. ONGEZENI NA EURO KABISA".

Huyo ndiyo anayepigiwa debe na ccm kwa gharama kubwa hadi fedha zote kwenye makampuni ya umma zimekwisha.

"NINATANGAZA KWAMBA MAGUFULI KATU HATAKUJA KUWA RAISI WA TANZANIA".
 
Binafsi siamini kama kujua kiingereza ndicho kigezo muhimu cha kuwa kiongozi. Wapo wanaojua kiingereza vizuri sana lakini maisha yao bado duni kuliko baadhi ya darasa la saba, au wapo wanaojua sana kiingereza lakini hawana sifa wana uwezo wa kuweza kujenga hoja na kuwa viongozi kwa Tanzania. Lakini pia tukumbuke wapo wanaojua kuongea lugha ya kiingereza hata bila kujua kuisoma. Ukiacha mazingira ya nyumbani Waziri Mkuu kama Japan hajui kiingereza lakini ni moja wa viongozi mahiri na wanaoheshimika duniani, Rais wa China hajui kiingereza lakini bado anaongoza taifa la pili kwa uchumi duniani na lenye watu wengi zaidi duniani. Kwangu mimi hoja lugha kuwa gumzo ni ishara ya taifa lenye ufinyu wa fikra na kuwa bado social revolution haijafanyika.
 
Kibaya zaidi kingereza hicho kinaongelewa na mtu aliyeshawahi kuwa mwalimu dahh majanga sijui degree zake ali defend vp?😅😅😅😅
 
Whats wrong with that? Everybody knows he`s no English or American.

Oh Really? Why did he speak English if he knew he doesn't now English in a first place?

And if he doesn't know the language he claims to use in all his academic undertakings, that means he is not learned and for that he is constitutionally disqualified from ugombania wa uraisi kwa tanzania!
 
Back
Top Bottom