Hawa wanaong'ang'ana ni wale huwa tunawaita Arts Pure.Huwa husoma masomo na hukuzania sana Kıswahl,Kıingere na Uraia.Wengi wao huwa hawana uwezo wa kutosha kıakili.Magufuli nı mwanasayansi na PhD yake n ya Chemistry,hana haja ya ngwine zenu,ıla kıchwa ni full charged.
Makamanda hata kiongozi wetu wa anga Freeman Mbowe naye kiingreza ni msiba.
Nilifikiri utasema treni za umeme kama kenya! Barabara ni wajibu wa kila serikali na sio ahadi ya kampeni!
Kwa rasilimali tulizonazo Treni ya umeme ni uchafu!!! badala ya kujifunza kiingereza anapoteza muda kupiga pushupKila kitu ni relative hapa Duniani! Kwa wewe unayeishi Kenya ndiyo utaona kwamba Barabara siyo muhimu lkn kwa MTZ wa kawaidia aliyekuwa anatumia siku mbili kusafili km 500 leo hii kama anaweza kutumia masaa 8 kwa nini asione kwamba kuna unafuu?
Hayo mambo ya treni ya Umeme yako nje ya uwezo wetu sasa hivi kwanza hata Kenya wenyewe hawawezi kumudu treni za Umeme lkn hiyo ni mada nyingine sasa hivi tunahitaji Br. za kuunganisha vijiji na vijiji, Wilaya na Wilaya, Mikoa na Mikoa ili tuweze kusafirisha mazao kutoka mashambani kwenda sokoni baada ya kukamilisha hilo ndiyo tuanze kufikiria mambo ya treni ya Umeme lkn kwa sasa hivi hilo halina nafasi na halitekelezeki kwa hali ya kiuchumi tuliyonayo TanZania!
...eh what the hell is this!!....me don't argue with dogs like you....ulivomshobokea na maneno meeeengiiii kisa umeona huyu nae ni profesa,, we unajuaje kama nae sio profesa kihiyo? acha kujichoresha bwana
Kwa rasilimali tulizonazo Treni ya umeme ni uchafu!!! badala ya kujifunza kiingereza anapoteza muda kupiga pushup
Kwa hiyo kwako suala zima la elimu ya mgombea ni mchele mchele?
Umesema kweli. Kuna maraisi wengi duniani hawajui kiingereza. Hao wasiojua kiingereza, nao walisoma elimu zao kwa kutumia kiingereza halafu wakawa hawakijui? Naomba jibu.
Kwani kuongea kiingereza ndio elimu?
Tunahitaji kukomboa fikra zako. Mbona waingereza hawatumii kiswahili? Kwa nini wewe ushobokee kiingereza hadi ufikie kuwashinda na wenye kiinglish Chao?
Tatizo ni ulimbukeni! Afya haithibitishwi kwa push ups! MTU tulimwona kabisa kwa babu akihangaikia afya yake hawezi kutuambia chochote! Tunamwombea tu afya yake iimarike!
Labda tuwekane sawa kidogo hapo. Viongozi wengi wa nchi duniani wanajua Kiingereza isipokuwa hawakitumii katika mikutano ya kimataifa kwa sababu siyo lugha rasmi ya nchi zao. Halafu mifumo ya elimu katika nchi nyingi inawalazimu wanafunzi kusoma angalau lugha moja ya kigeni; na Kiingereza mara nyingi kinapewa kipaumbele kwa sababu ya umuhimu wake katika mawasiliano ya kimataifa.
Hao wote uliowataja hawakutumia kiingereza kwenye masomo yao. Huyu pombe alitumia kiingereza toka class 3 mpaka Phd. Besides, huyu mtu alisoma seminary na amefundisha mpaka secondary, alipitaje huko kote na hii broken? Kingine, amekuwa waziri for 20 years alishindwa nn kujiongeza kwenye lugha hii muhimu japo informally ili kuepukana na hii aibu? Hii nchi ya ajabu sana viongozi hawaandaliwi then tunashangaa kwanini tumestuck.
Sasa huwezi kulink uelewa wa fani kwa kutumia uelewa wa medium inayotumika kuifundishia. Unapokikana kiingereza, si kuikana elimu na kujua kiingereza si kuwa na ujuzi au elimu, kuna wengi wanaoongea kiingereza kizuri sana lakini kufundishwa ujuzi wowote ni tatizo kwao.Kuifahamu lugha kwa ufasaha pale inapotumika kufundishia (medium of instructions), achilia mbali kuwa sehemu ya elimu, ni kigezo muhimu cha kuruhusiwa kuchukua masomo ya kitaaluma. Ndio maana Watanzania (wako wengi tu) waliosoma nchi kama Urusi, China, Japan, Ukraine, n.k. kwa kutumia lugha za nchi hizo wana uelewa mkubwa wa hizo lugha.
China,Korea ni nchi zilizoendelea bila kutegemea mfumo Wa ki capitalist na wanatumia lugha yao hawamjaji kiongozi kwa kutokujua kiingereza wala kifaransa Bali utendaji kazi hizo siasa za kujua lugha za kigeni zipo Tanzania tu
Acha ufala wewe. Lugha zisizo na staha nani anashindwa dunia hii? Unajidhalilisha.
watu mamburula kweli. unatoa mifano ya china na japani kwani wao lugha zao za kujifunzia na mawasiliano official ya kiserikali ni kiingereza? China hawatumii lugha ya kiingerezaa katika shughuli zao sisi tunaitumia kila mahali tangu primary mpaka vyuo vikuu. Hivyo mtu mwenye phd kutoweza kutunga hata sentensi moja sahihi ya kiingereza sio sawa! halafu majukumu anayotaka kupewa yanamlazimu ajue hiyo lugha vizuri kwa sababu itamlazimu kuitumia mara nyingi kuliko alivyokuwa waziri. atakuwa anakutana na wa\geni wengi sana na inabiodi aweze kuwa na ciommunication skills nzuri!Binafsi siamini kama kujua kiingereza ndicho kigezo muhimu cha kuwa kiongozi. Wapo wanaojua kiingereza vizuri sana lakini maisha yao bado duni kuliko baadhi ya darasa la saba, au wapo wanaojua sana kiingereza lakini hawana sifa wana uwezo wa kuweza kujenga hoja na kuwa viongozi kwa Tanzania. Lakini pia tukumbuke wapo wanaojua kuongea lugha ya kiingereza hata bila kujua kuisoma. Ukiacha mazingira ya nyumbani Waziri Mkuu kama Japan hajui kiingereza lakini ni moja wa viongozi mahiri na wanaoheshimika duniani, Rais wa China hajui kiingereza lakini bado anaongoza taifa la pili kwa uchumi duniani na lenye watu wengi zaidi duniani. Kwangu mimi hoja lugha kuwa gumzo ni ishara ya taifa lenye ufinyu wa fikra na kuwa bado social revolution haijafanyika.
Sasa huwezi kulink uelewa wa fani kwa kutumia uelewa wa medium inayotumika kuifundishia. Unapokikana kiingereza, si kuikana elimu na kujua kiingereza si kuwa na ujuzi au elimu, kuna wengi wanaoongea kiingereza kizuri sana lakini kufundishwa ujuzi wowote ni tatizo kwao.
Huwezi kumpima mtu kwa kigezo cha kujua kuongea kiingereza. Kuna kiingereza cha kuongea, kusikia, kuandika n.k
Unaposoma unaweza kuelewa na kujibu maswali kwa kujieleza kimaandishi lakini ukipewa nafasi upresent mada, magoti yanaisha nguvu na tumbo linajaa gesi.
Lakini kuna mtu anaeweza kuongea sana kiingereza lakini ukimchallenge kidogo tu kwa swali jepesi ambalo liko technical utashangaa anatweta na kuitafuta leso.
Tunahitaji kiongozi aliejipanga kuongea na sisi, sio mtu aliejiandaa kutuletea wakoloni weupe na kuendelea kutufanya watumwa.