mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,151
Najaribu kuimagine vijana shuleni walilazimishwa kuzungumza kiingereza watasema mbona rais naye hajui? Km unaweza kufikia ngazi ya kuwa rais hujui kingereza iweje mimi mwanafunzi nisumbuliwe kukijua? Kwa kweli kumchagua Magufuli ni kuweka bad precedent kwa vijana wetu!Mimi ninaishi sweden sasa miaka 26.wale ambao wanaongea kiswedish fluently lakini hawakwenda shule (yaani kukaa darasani na kujifunza)wana shida ktk kuandika na grammatical. Hivyo kuongea lugha si kigezo cha kuijua lugha.lugha ni kuielewa kwa vyote hasa kuandika na grammatical.