ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
kawaida ya msukuma ushamba haumtoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China na mfanano wake wasiotumia kiingereza, wanamfumo wao wa kupata elimu usiokuwa wa kiingereza. Hao wamesoma na wameelimika sana shida inakuwa kutumia elimu zao na utaalam mbali mbali katika fani zao katika lugha ngeni.
Huyu wa ccm, hajasoma. Kwa maana amekaa darasani bila kujua nini kinafundishwa na hivo anatoka bila elimu. Hawezi kusema amesoma wakati haelewi kilichokuwa kikihitajika akielewe. Uwezo wa kutuambia kwamba alielewa hana kwa sababu huwezi kuelewa lolote wakati lugha inayotumika huijui.
Huyu hata angepewe wakalimani hana cha kufanya kwa sababu hana ufahamu. Vinginevyo atuambie yeye elimu yake alisoma kwa ktumia lugha gani?
Kibaya zaidi kingereza hicho kinaongelewa na mtu aliyeshawahi kuwa mwalimu dahh majanga sijui degree zake ali defend vp?
kawaida ya msukuma ushamba haumtoki
Hapo naona mambo mengi sana yakiwemo
4. Siri ya ubabe wa magufuli kumbe ni inferiority complex kitu ambacho hawezi kufanya kazi na watu weledi ambao ni muhimu kwa taifa.
CCM OUT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UKAWA CHAGUO LETU.
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Nimejiuliza sana magufuli ni Dr wa ukweli ama mwanamazingaumbwe
Hiyo phD kapataje bandugu????????????????
Suala siyo lugha. Chuo Kikuu Cha Dar wanafunzi huanza na Communication skills. Inakuwaje wahitimu wetu hawa?Lugha si tatizo, akienda kimataifa ataomba kuobgea kiswahili na watatafsiri. Kimataifa hawajali lugha au accent, wanajali content ya utafiti husika.
Oh Really? Why did he speak English if he knew he doesn't now English in a first place?
And if he doesn't know the language he claims to use in all his academic undertakings, that means he is not learned and for that he is constitutionally disqualified from ugombania wa uraisi kwa tanzania!
Suala siyo lugha. Chuo Kikuu Cha Dar wanafunzi huanza na Communication skills. Inakuwaje wahitimu wetu hawa?
Waziri mkuu wa japan ,au wa ugiriki, castro anajua kingereza?
Waziri mkuu wa japan ,au wa ugiriki, castro anajua kingereza?
Hiyo clip ya magufuli nimewasikilizisha wanangu wajifunze kingereza kwa bidii ili wakiwa wakubwa wasinitie aibu kama Magufuli.
Wewe ni mjinga kabisa tena mpumbavu mkubwa. Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha zingine. Kuna marais wengi sana duniani hawajui kabisa kiingereza lakini wanafanya vizuri sana kwenye nchi zao na uchumi wa nchi zao uko juu sana mara 100 ya uchumi wetu Tanzania. Watu kama ninyi mmejaa fikira za kitumwa ndio maana mnaona kuongea kiingereza ni jambo la maana sana. Magufuli haombi kuwa rais wa Waingereza au Wamarekani, Magufuli anaomba kuwa rais wa Waswahili Watanzania wanaotumia Kiswahili kuzungumza kila siku. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Tabby hii kitu niliigundua baada tu ya kusikiliza hiyo speech yake. Nikawaambia cousins wangu nilikuwa nao wakasema nimezidi kumsingizia.
Ubabe wake ni kuficha mapungufu kibao aliyo nayo. Sasa namuelewa ndugu yangu anayefanya kazi tanroads. Anasema magufuli si mtendaji ila anapenda mno publicity halafu kinachombeba ni kuwa tofauti na wizara ya afya ujenzi ni vitu vinavyoonekana na kila mtu. Sasa ukiongeza anavyoita waandishi na kuanza kufokea makandarasi publically na wao hawawezi sema chochote basi ndio anaonekana mtendaji kweli.