Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko
Unapaswa kuelewa mada. Tumejadili sana hizi habari za maraisi wasioongea kiingereza kwa sense ya kwamba ama hawajui, ama hawataki ama hawatakiwi.
Hawa maraisi ni wasomi tu wazuri wa fani zao katika lugha zao. Elimu hiyo ndiyo inawapa uwezo wa kuelewa, kuratibu, kuongoza na kusimamia majukumu yao kwa mujibu wa katiba za nchi zao. Wanapokuwa katika maeneo yenye haja ya matumizi ya lugha ngeni, ndio utaona walakuwa na wakarimani n.k na wakarimani hao wanatafasiri hekima, mitazamo ufahamu na maarifa kutoka kwenye vichwa vya elimu ya kilugha kwenda kwenye lugha ngeni.
Magufuli anadai kasoma Univeristy of Dar Es Salaam. Elimu anayodai kasoma inatolewa kwa lugha ya Kiingereza. Sasa kama hajui Kiingereza alisoma au alikaa darasani? Elimu siyo kukaa darasani bali ni kubadilika na kubadilisha. Kama hajui hata lugha iliyokuw aikitumika darasani, huyu kasomaje? Hapa tunadai mtuambie elimu yake aliipata kwa kutumia lugha gani.
Mtu asiye na akili wala elimu kama magufuli, hata kama akipewa mkarimani, mkarimani huyo atafasiri nini kwenda kwenye Lugha y aKiingereza ikiwa kichwa chake mwenyewe Magufuli hakina maarifa wala elimu yoyote?
NAOMBA UNISAIDIE. TUKUBALIANE SASA KAMA WALE MARISI UNAOWASEMA. WEWE UWE MTAFASIRI WAKE MAGUFULI KWENDA KWENYE HATA KILUGHA ULICHOZALIWA NACHO. UNGETUMIA MAAJABU GANI, KUONGEZA TIJA KWENYE KUTAFASIRI MANENO HAYA YA MAGUFULI KWAMBA "SADDAM ALIKUWA RAISI WA LIBYA. ALI, SAMAHANI, KUWAIT KWELI"?
Ufahamu wa Magufuli unasema (ambaye ndiye source yako wewe marimani) unasema "SADDAM ALIKUWA RAISI WA LIBYA NA KUWAIT" wewe mkalimani ungeifanyaje hii hoja ionyeshe ni ya mtu safi mwenye ufahamu na weledi tena msomi kasoro tu hajui kiingereza?
Magufuli ni Zero. Makrimani hawezi kuongeza kitu kwenye kichwa kitupu!. Atabki anachezea mic tu na kuishia kupata aibu.
Magufuli, Kihiyo, Mulugo ni mizigo na aibu kwa taifa. Wabaki kuwa madiwani tu!.