Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,852
Reaction score
35,619
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
 
Alianza mmoja akaleta na wengine
 
Hakuna kosa tulilowahi kulifanya watanzania kama kuruhusu watu wasio na uwezo kuwa wanasiasa !!!! Hili ndilo limetamalaki kwa sasa ,hasa katika chama cha mapinduzi hilo tuache unafiki ndio lililopo!!! Mtu anajifanya ni mtiifu kwa cha ana foji mpaka cheti cha taaluma ili apate cheo!! Kibaya zaidi eti hata mwanasiasa akifoji vyeti vya taaluma sheria haimgusi kama alivyofanya bashite!! Lakin mtumishi yoyote anaondolewa kazini!!? Kweli hili ni ajabu kabisa!!!
Panatakiwa katiba mpya ili upatikanaji wa viongozi wawe wanafanyiwa usaili,.
Iwe ni wazi kua Kuwa wanaccm sio tiketi ya kupata cheo!!! Cha uwaziri,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya au u das!! Hivi vyeo watu wenye sifa bila kujali vyama waombe kazi na wapewe usaili!??
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
🤣🤣🤣 sijui kwanini nimecheka
 
Story ndefu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_4300.png
 
CCM ushauri kwenu, najua nyinyi ndio mmeshika jembe, Polisi, NEC na kila kitu ni mali ya chama nawaomba msije kusimamisha tena mtu wa dizaini ile....hakuna alie kamili, kila mtu ana mapungufu ila pale Taifa lililamba garasa.
Yani hadi Mungu mwenyewe amewakumbusha.

Walau basi muweke watoto wa mjini.
 
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Hitaji la viongozi hutegemea na hali ya siasa za wakati huo. Kumbuka wakati wa mwalimu Nyerere na mzee Mkapa hapakuwa na social media kama wakati wa JPM hivyo usitegemee kuwa na sera za kufanana baina ya viongozi hao watatu.
 
Ben na mzee Msoga ndoo tunawalaum na hatutakaa tukawasamehe,wameturudisha nyuma kama miaka 10 iliyopita.Mwaka 2015 wao waliona mwenda zake ndoo alikuwa anafaa couse alionekana hana harufu ya rushwa na ufisadi kumbe walikuwa wanajidanganya.Sasa kilichokuja kutokea ni mara 7 wangemuweka Edward nchi ikaendelewa kuliwa lakini watu wanaishi vizuri .

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom