Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Nafikiri ilikuwaaje kwa sababu ww ni muuza unga,jambazi ,corrupt .Ilikuaje mpaka Magu akawa RAIS akawazuia kupiga dili.

Kwa taarifa yako hakuna wakati watu wametekwa na kuuawa, unga umeuzwa sana, watu wamebambikiwa kesi za hovyohovyo, watu wameshuhudia uongozi wa kishamba na kiimla, kuminywa kwa vyombo vya habari, watumishi kutopandishwa madaraja na kutopewa nyongeza yao ya mshahara kila muhula, kununuliwa madege mabovu, viongozi kufoka katika kila hotuba na kutukana wananchi na kukejeri, viongozi kutaja jina la Mwenyezi Mungu jukwaani huku wao wakiwa mashetani na wenye roho mbaya ya chuki kwa wengine, wakati wa hao watu walifanya chochote ikiwamo kuiba wake za watu na mbaya zaidi kuanza kutesa wale wanawake waliowakataa, yaani uongozi wa hao watu hawakuwa hata na chembe ya ustaarabu hata kidogo kama viongozi wako hao
 
Kabisa yan!!! Yan imefikia ccm inamhonga pesa mpinzani ili aende ccm kisha anapewa ubunge na uwaziri!!! Ile ilikua ni aibu sana kwa ccm Ila magu hakujua!??
Alijua ila hawakuwa na namna.

Ilifikia hatua anakosa hata mtu wa kuteua naibu waziri katika idadi ya watu 200+.

Katika watu wote waliohamia ccm ukiondoa wajinga wajinga kama kina Maulid Mtulia na mwenzake Mtolea wengine wote ni ministers na deputy ministers wengine ni wakuu wa mikoa.

Imagine UVCCM watu cream ni kina Sabaya?
 
Unaharibu legacy mkuu

Ukiona mtu anajisifu sana ujue huyo hamna kitu, ukiona unatumia nguvu kubwa kutetea kitu fulani ujue hicho kitu kinakasoro na ukiona watu wote kwa ghafla wanakuunga mkono ujue hao watu wanaakili zaidi yako yaani washakuona wewe ni chizi hivo watakusifia ili wasipoteze muda wao
 
CCM ushauri kwenu, najua nyinyi ndio mmeshika jembe, Polisi, NEC na kila kitu ni mali ya chama nawaomba msije kusimamisha tena mtu wa dizaini ile....hakuna alie kamili, kila mtu ana mapungufu ila pale Taifa lililamba garasa.
Yani hadi Mungu mwenyewe amewakumbusha.

Walau basi muweke watoto wa mjini.
Hilo lipo wazi nchi kama nchi wamejifunza kitu kikubwa sana sana sana Ila magalasa hayawezi jua kabisa !!! Sio kila MTU anaweza kuw Rais
 
Kwa taarifa yako hakuna wakati watu wametekwa na kuuawa, unga umeuzwa sana, watu wamebambikiwa kesi za hovyohovyo, watu wameshuhudia uongozi wa kishamba na kiimla, kuminywa kwa vyombo vya habari, watumishi kutopandishwa madaraja na kutopewa nyongeza yao ya mshahara kila muhula, kununuliwa madege mabovu, viongozi kufoka katika kila hotuba na kutukana wananchi na kukejeri, viongozi kutaja jina la Mwenyezi Mungu jukwaani huku wao wakiwa mashetani na wenye roho mbaya ya chuki kwa wengine, wakati wa hao watu walifanya chochote ikiwamo kuiba wake za watu na mbaya zaidi kuanza kutesa wale wanawake waliowakataa, yaani uongozi wa hao watu hawakuwa hata na chembe ya ustaarabu hata kidogo kama viongozi wako hao
Inaonekana ww ni muuza unga.Na pia jambaz .
 
Yan ukitaka kuonekana hooligan and stupid msifie magu!??? Yan magu na mama wakisimama aneonekana ana PhD ni mama Samia !!! Yan mpaka huwa najiuliza magu alifaulu vipi
Kwa ranking za kwako usiye na elimu
 
Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.

Kuharibu biashara?
Kuharibu kilimo?
Kuharibu uhusiano?
Kuharibu Democrasia?
Kuharibu Sheria na katiba?
Kuharibu Elimu?
Kuharibu amani?
Kugawa watu?
Kujenga chato?
Kugoma hakuna corona? na watu wanakufa
Sijawahi ona mazuri ya magufuli, kama hayo ni mambo ya hovyo aliyofanya basi mazuri ni yapi?
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Walipatikana kupitia unafiki, kupuuzia matendo na matokeo ya matendo yao na kubebana.
 
Back
Top Bottom