mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
kufa tu mkuu,maana hizo kauli utazisikia mpaka uchoke.Mimi ambao na washangaa kwa sasa ni wale wanaosema magufuli angekuepo haya yasingetokea wananikera mno
kufa tu mkuu,maana hizo kauli utazisikia mpaka uchoke.Mimi ambao na washangaa kwa sasa ni wale wanaosema magufuli angekuepo haya yasingetokea wananikera mno
useme huna bandle tukusaidie.Hotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
Kiongozi yoyote atakaeleta udikiteta tz Mungu atamuondoa mapema sana
magu akiwa waziri alisimamia zaidi barabara za kuunganisha mkoa.Kuna jamaa flan Tanroad alinisimuliaga magu alivyokuwa waziri alikataa kabisa kusijengwe barabara za waenda kwa miguu (sidewalks) eti ni anasa. Wakati yeye alikua akilamba na kukunja 10%
kati ya vyote hivyo chadema iko kundi lipi hapo!!!maana kwa sasa wanakwenda na bi samia[emoji23][emoji23]Tanzania hakuna Democrats wala Republicans, wala hakuna mfanano wowote wa aina hiyo. Kuna CCM, CCM B na upinzani halafu kuna CCM Asili na CCM mpya/ makinikia/mataga.
Chuki tu za watangulizi wake ndiyo zilituletea huyo mtu ambaye alituletea hizo copy zake nyingineWakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Hatuwezi kumchukia wote, wapo wanaompenda na wapo wanaomchukia, binadam hapendwi na wote lazima atakuwa na maadui.Mnataka wote tumchukie magu?Wd mchukie kwa sababu zako mimi nitampenda kwa sababu zangu.
Ni kweli kabisa.Mnataka wote tumchukie magu?Wd mchukie kwa sababu zako mimi nitampenda kwa sababu zangu.
Nakumbuka sio miaka mingi waziri mmoja wa German alijiuzulu baada ya kugundulika kuwa katika andiko lake la PhD alifanya quotation ya utafiti wa mtu lakini hakukiri, yaani haku declare kuwa sehemu hiyo ni ya mtu mwingine,kwa mzungu asiendelee?Hakuna kosa tulilowahi kulifanya watanzania kama kuruhusu watu wasio na uwezo kuwa wanasiasa !!!! Hili ndilo limetamalaki kwa sasa ,hasa katika chama cha mapinduzi hilo tuache unafiki ndio lililopo!!! Mtu anajifanya ni mtiifu kwa cha ana foji mpaka cheti cha taaluma ili apate cheo!! Kibaya zaidi eti hata mwanasiasa akifoji vyeti vya taaluma sheria haimgusi kama alivyofanya bashite!! Lakin mtumishi yoyote anaondolewa kazini!!? Kweli hili ni ajabu kabisa!!!
Panatakiwa katiba mpya ili upatikanaji wa viongozi wawe wanafanyiwa usaili,.
Iwe ni wazi kua Kuwa wanaccm sio tiketi ya kupata cheo!!! Cha uwaziri,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya au u das!! Hivi vyeo watu wenye sifa bila kujali vyama waombe kazi na wapewe usaili!??
wale wauza madawa, vyeti feki na mafisadi lazima wamchukie mwambaWakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Hahaha, anaweza kuwa ni yule anayejiita nigastra....something, jina lake la ajabu ajabu humuKuna jirani yangu kila usiku nasikia anapiga hotuba za mwendazake, jana nilisikia ile anagawa laki moja kununua jogoo sijui mama yake atamuoza[emoji205][emoji1787][emoji2223]
Maneno mavi, katelelo na mwanamke mweupe mtamu yasingekosekanaBora wenye kuandika vitabu wameacha legacy ya maana,yule jamaa yeye angeandika kitabu kingekua kimejaa matusi tu.
Katika hao wanunuliwa kuna mmoja hana kariba ya uongozi na anafanana na MusibaCCM kimeshakoma kuwa chama cha siasa lilishabaki kuwa genge la wezi.
Tusitegemee tena kupata viongozi kutoka ccm tutaendelea kupata wezi na saddists.
Hebu angalia kule Bungeni kama utaona Leader material ?
Angalia nje ya bunge kutoka ccm kama utaona leader material?
CCM ilikoma kutengeneza viongozi baada ya Nyerere kuachia madaraka ya mwenyekiti wa chama.
Ndiyo maana ilimlazimu Bashiru na Polepole kufanya kazi ya kusaka viongozi kutoka vyama vingine kwa gharama yoyote.
Na wote aliowanunua polepole na Bashiru ni mawaziri kwenye serikali.
Mkuu,Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Yupi huyoKatika hao wanunuliwa kuna mmoja hana kariba ya uongozi na anafanana na Musiba