Kwa taarifa yako hakuna wakati watu wametekwa na kuuawa, unga umeuzwa sana, watu wamebambikiwa kesi za hovyohovyo, watu wameshuhudia uongozi wa kishamba na kiimla, kuminywa kwa vyombo vya habari, watumishi kutopandishwa madaraja na kutopewa nyongeza yao ya mshahara kila muhula, kununuliwa madege mabovu, viongozi kufoka katika kila hotuba na kutukana wananchi na kukejeri, viongozi kutaja jina la Mwenyezi Mungu jukwaani huku wao wakiwa mashetani na wenye roho mbaya ya chuki kwa wengine, wakati wa hao watu walifanya chochote ikiwamo kuiba wake za watu na mbaya zaidi kuanza kutesa wale wanawake waliowakataa, yaani uongozi wa hao watu hawakuwa hata na chembe ya ustaarabu hata kidogo kama viongozi wako hao