Alianza mmoja akaleta na wengineWakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
🤣🤣🤣 sijui kwanini nimechekaWakuu

Mwingine huyoooKatiba dhaifu ndio sababu kubwa kwanini tulipata viongozi wa aina hiyo. Watu kama Magufuli, you must keep them on a leash, vinginevyo ni majanga matupu.
Hajawahi kuhutubia yule, alikua anafokafoka tu...Hotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajawahi kuhutubia yule, alikua anafokafoka tu...
Hitaji la viongozi hutegemea na hali ya siasa za wakati huo. Kumbuka wakati wa mwalimu Nyerere na mzee Mkapa hapakuwa na social media kama wakati wa JPM hivyo usitegemee kuwa na sera za kufanana baina ya viongozi hao watatu.Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?