Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hayati Magufuli alishindwa vumilia kudharauliwa, na hii ndio sababu kubwa Upinzani hauku ingia bungeni 2020 , inasemekana hivyo .
Muwe na siku njema
Muwe na siku njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuwashughulikia CCMMagu amenena vyema.
Time hii hatutazira kushiriki uchaguzi sababu ya tishio la wizi wa kura,
Tutashiriki uchaguzi na kuhakikisha kura haziibwi.
Mtanikumbuka 😂😂🔥Nikuwashughulikia CCM
Tutakabiliana nao vilivyo kwenye kulinda Kura zetu.Nikuwashughulikia CCM
HakikaMagu amenena vyema.
Time hii hatutazira kushiriki uchaguzi sababu ya tishio la wizi wa kura,
Tutashiriki uchaguzi na kuhakikisha kura haziibwi.