James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Sijawahi kuwaona hawa Marais wawili wakifanyiwa interview. Ni kawaida kuwaona wakuu wa nchi wakihojiwa kuhusu vitu mbalimbali. Mahojiano hayo huwapa fursa waandishi wa habari kuwauliza viongozi maswali ambayo wananchi wangependa kujua majibu yake.
Kwa mfano, kama ningepata fursa ya kukaa na Magufuli ningependa kujua alivyojenga Uwanja wa Chato alitumia vigezo gani kuichagua Chato, je alipata idhini ya Bunge kutumia pesa ya walipa kodi? Tenda ya kujenga Uwanja ilitangazwa? Nani alikuwa Mkandarasi? N.k.
Lakini bado naamini Magufuli hajachelewa sana. Anaweza kutumia fursa ya kufanya mdahalo na Lissu ili kuhojiwa kuhusu mambo mbalimbali.