Magufuli na Kim Jong-Un ni Marais pekee duniani sijawahi kuwaona wakifanyiwa interview

Magufuli na Kim Jong-Un ni Marais pekee duniani sijawahi kuwaona wakifanyiwa interview

Naomba Magufuli asikubali interview tutaaibika sana, umesahau alivyochapwa swali la kimalikia Uganda akaongea takataka hadi Museveni akasaidia kujibu?...[/QUOTE]
 
Labda huwa hawapendi kufanya midahalo/mahojiano kwa kuhofia dhamira hasi za wanaotaka mahojiano. Mpaka leo sielewi shida iko wapi kiasi cha wapinzani wengi wa serikali kukomaa kuwa tenda ya uwanja wa Chato haikutangazwa.

Binafsi nakumbuka kusoma tangazo la tenda kwenye gazeti kabla hata hizi kelele hazijaanza. Kwa mwendo huo, hata ningelikuwa mimi nisingetaka mdahalo na watu ambao nina shaka na dhamira zao.

Narudia. Kuhusu uwanja wa Chato mengi yanayosemwa ni ya kipuuzi.
 
Mtu mwenye sera ya kuvunja Muungano, mwenye kuongea bila kujali Hadhi ya Mwl Nyerere ni wakufanya naye mdahalo si ni kujizalilisha
Kama sio ubavu wa CCM bara Muungano ulivunjika kitambo sana. Wazanzibar kwenye hili huwa wako pamoja. Si unguja si pemba
 
Back
Top Bottom