Ukiona mtu anaongea hata bila kuwa na Heshima kwa Mzee Mtei, ujue huyo ana matatizo tena makubwa.
Mzee Mtei licha ya kutokubaliana na Mwl lakini alimuheshimu Mwl mpaka Leo hii , Sasa anakuja kidudu mtu moja , kisa kasoma sheria, basi anajiona yeye ni juu ya kila kitu.
Hata Maalim Seifu Shariff Hamad, licha ya dhorobu misuko suko ya kisiasa aliopata lakini bado alimuheshimu Mwl.
Sasa huyu ambaye sijui historia yake ipoje, namuona akiharisha harisha ovyo ovyo kama hakuwa na ulezi, ingawa naona Yule Kaka yake wa Arusha kama ni mtulivu, sijui na Yule wa Dsm yupoje??