James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Hao maRais nchi zao zimeendelea au laah!?
Yaap.. even here in Zim..I remembered last time when he was coming back from SA and Namibia, he had a brief interview with some journalist and somehow got some difficulty of smoothly responding to questions raised. Yaah..may be, what he needs is a concerted effort and from his aides to improve on this area...Sitaisahau aibu ya Uganda mbele ya museven
Ile ya Uganda ilikuwa ni aibu kubwa! Yaani mtu anashindwa kuelewa hata swali aliloulizwa, na hata baada ya kusaidiwa kufafanuliwa M7, bado akajibu kioja - human rights is not my priority.Sitaisahau aibu ya Uganda mbele ya museven
Kwani PHD yake alisomea nini?Mwanzoni mwa utawala wake Aliwahi kuwaita waandishi wa Habari ikulu na kumuhoji rais maswali.
ila hayo majibu yake ni balaa.
Pasco mayala aliuliza kuhusu katiba mpya
Rais alijibu ametembea chi nzima akiomba kura hajawahi kutaja neno katiba, Na akasisitiza Mayala kwa kisukuma maana yake njaa.
Jamaa ni muoga sana
“In the land of the blind, the one eyed man isn’t a king but a thief. He will continue to rob us blind, loot and pillage everything until there is Nothing Left To Steal."Sijawahi kuwaona hawa Marais wawili wakifanyiwa interview. Ni kawaida kuwaona wakuu wa nchi wakihojiwa kuhusu vitu mbalimbali. Mahojiano hayo huwapa fursa waandishi wa habari kuwauliza viongozi maswali ambayo wananchi wangependa kujua majibu yake...
Nchi zinazofanya midahalo kama Marekani zina hali mbaya sanaHao maRais nchi zao zimeendelea au laah!?
Ana phd ya kemiaAnajua ni empty kichwani
Akikubali mdahalo ameishaa
Ukiona mtu anaongea hata bila kuwa na Heshima kwa Mzee Mtei, ujue huyo ana matatizo tena makubwa.Sijawahi kuwaona hawa Marais wawili wakifanyiwa interview. Ni kawaida kuwaona wakuu wa nchi wakihojiwa kuhusu vitu mbalimbali. Mahojiano hayo huwapa fursa waandishi wa habari kuwauliza viongozi maswali ambayo wananchi wangependa kujua majibu yake.
Kwa mfano, kama ningepata fursa ya kukaa na Magufuli ningependa kujua alivyojenga Uwanja wa Chato alitumia vigezo gani kuichagua Chato, je alipata idhini ya Bunge kutumia pesa ya walipa kodi? Tenda ya kujenga Uwanja ilitangazwa? Nani alikuwa Mkandarasi? N.k.
Lakini bado naamini Magufuli hajachelewa sana. Anaweza kutumia fursa ya kufanya mdahalo na Lissu ili kuhojiwa kuhusu mambo mbalimbali.