Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa Reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kuleta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo.
Maudhui ya sengeli ni matusi na ulevi.
Huyu anasema One Love, One heart, Let get together and I will feel alright.
Huyu mwingine anasema HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA.
Ndio maana Kila aendako anataka kupewa mke.
Uchaguzi wa mwaka huu una fumbo kubwa Sana, hakika tutalala kwa furaha maana kale kazimwi ka tambiko kamefungiwa Makumbusho na hakajazungishwa kupumbaza watu.
Imeisha hiyoooooo