Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bujibuji tafuta video clip ya singeli na reggae tulinganishe hapaKuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kileta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo.
Maudhui ya sengeli no matusi na ulevi.
Huyu anasema One Love, One heart, Let get together and I will feel alright.
Huyu mwingine anasema HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA.
Ndio maana Kila aendako anataka kupewa make.
Uchaguzi wa mwaka huu una fumbo kubwa Sana, hakika tutalala kwa furaha maana kale kazimwi ka tambiko kamefungiwa Makumbusho na hakajazungishwa kupumbaza watu.
Imeisha hiyoooooo
Mkuu ebu fikiria, mtu kweli anapata uthubutu wa kuropoka hadharani ns kuwatisha walipa kodi kuwa atawanyima maendeleo kwa sababu za kipuuzi kabisa. Huo ni uhuni kabisa kama ule uliopo ktk maudhui ya nyimbo za singeli zinazotungwa na kushabikiwa na wahuni, ambao wengi wao ndiyo washereheshaji wakuu ktk kampeni zake.Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kileta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo.
Maudhui ya sengeli no matusi na ulevi.
Huyu anasema One Love, One heart, Let get together and I will feel alright.
Huyu mwingine anasema HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA.
Ndio maana Kila aendako anataka kupewa make.
Uchaguzi wa mwaka huu una fumbo kubwa Sana, hakika tutalala kwa furaha maana kale kazimwi ka tambiko kamefungiwa Makumbusho na hakajazungishwa kupumbaza watu.
Imeisha hiyoooooo
Kampeni za CCM ni uchafu mtupuKuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kileta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo.
Maudhui ya sengeli no matusi na ulevi.
Huyu anasema One Love, One heart, Let get together and I will feel alright.
Huyu mwingine anasema HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA.
Ndio maana Kila aendako anataka kupewa make.
Uchaguzi wa mwaka huu una fumbo kubwa Sana, hakika tutalala kwa furaha maana kale kazimwi ka tambiko kamefungiwa Makumbusho na hakajazungishwa kupumbaza watu.
Imeisha hiyoooooo
Hah hah haaaaPia anaupenda sana ule wa miss buza
Weraaaaaa weraaaaaa.... Zinaa mtindo mmojaKampeni za CCM ni uchafu mtupuView attachment 1587993View attachment 1587994View attachment 1587995View attachment 1587996
🤣🤣🤣🤣🤣Tumeanza linganisha vitu sasa,tumeshaachana na sera na wagombea
tumehamia kwenye vitu vitumikavyo kwenye kampeni sasa,tukimaliza
hapo tuhamie kwenye jambo lingine,tuachane kbsa na sera na wagombea..Tutafika tu.