Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Kwakuwa pesa nyingi inapelekwa nje tena kwa cash sio mkopo basi tutegemee pia atapandisha mishahara hiyo tarehe 1 May..
 
Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Sasa mwenda wazimu ni wewe ama nani. Maana ndege bado ziko kiwandani. Pumbav wewe
 
Mara tuwaite mabeberu ..wezi wa rasilimali zetu ila ndege zao nzuri.Tutengeneze ndege zetu kama tulivyosema tunalima pamba tutaanza kuwauzia mitumba
 
Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
ziko kiwandani zinakamilika, wakati zinaendelea kutengenezwa basi akaamua kuongeza nyingine na yenyewe iko kwenye matengenezo
 
Huyo mzungu anaangalia Magufuli na kujiambia kimoyomoyo "Hawa waafrika wanakuanga washamba sana!"
Mzungu na Magufuliwanauelewa mchezo huu, wananchi ndio wafumbua macho.
 
Nawaomba wanajamvi. Rais amesema leo kuna ndege nyingine ya saba imeongezwa.
Je, Zile picha za Issa Michuzi kwenye Instagram zikimwonesha akiwa kwenye kiwanda cha airbus. Je, kuna mambo kama haya yanaweza tokea?
Hebu nawaomba msikilize hapa:

Natamani kufahamu gharama za nauli za ndege kama ninavyofahamu gharama za nauli za mabasi....!!!! Tehe... Tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…