Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA tupunguze povu kwanza. Tuone kama wataweza na tambo zao. CHADEMA ndio waliokuwa wakilalamika kuwa nchi aikuwa na shirika la ndege. Hizi zilikuwa were za UKAWA pindi wangechukua nchi. Tusubiri sasa
 
Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Dah.....Tulia....kunywa Maji Mengi baridi....pumzika vya kutosha....kisha urudi kusoma Uzi upya...
 
Hadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!
Biashara ya ndege sio kama duka. Africa ni mashirika mawili tu ya ndege yanayotengeneza faida kwa sasa. Hiyo ni Ethiopia na Mauritius airways
Pamoja na mashirika mengi ya ndege kutengeneza hasara lakini return yake na faida zake kiuchumi nikubwa sana. Ndege zinakuza utalii wa nchi pamoja na uwekezaji. Pamoja na KQ, SA air, Morocco air kutengeneza hasara lakini zimesaidia sector nyingine nyingi za kiuchumi kukuwa. Kama uwekezaji na utalii.
 
Hadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!
Acha kulima uEndelea kusubiri Magufuli akakulimie Ikulu akuletee unga nyumbani kwako
 
Hadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!

Nenda kanyonye kwa mamako, ndege bado zitanunuliwa.
 
Hatuja ongelea jambo jet. Wako na Boeing pia ??
Jambojet wako na Boeing 737 zaidi ya moja, so Kwasasa mjo level hio
images-1.jpeg
images-2.jpeg
images.jpeg
 
Aiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho
Maendeleo ya watu ni kwenye nchi zilizoendelea sio zetu hizi, hizi zinawekeza kwenye vitu maendeleo tutayasikia kwenye bomba
 
Ili iweje korôsho. Unajua return yakiuchumi kwenye hizi ndege.
Return ya korosho ni kubwa na endelevu kuliko ndege,waulize wavietnam watakuambia,ndege ni kupeleka hela nje korosho ni kuingiza hela kwenye mzunguko wa ndani
 
Return ya korosho ni kubwa na endelevu kuliko ndege,waulize wavietnam watakuambia,ndege ni kupeleka hela nje korosho ni kuingiza hela kwenye mzunguko wa ndani

Nenda kalime korosho, hamna aliyekuzuia. Wenzako wanatengeneza pesa tayari.
 
Back
Top Bottom