Usijali wakisoma huwa yanapitia masikioni747-F for freight A330 freight. They cost much less than the passanger versions. Stop being ignorant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali wakisoma huwa yanapitia masikioni747-F for freight A330 freight. They cost much less than the passanger versions. Stop being ignorant
Hatuja ongelea jambo jet. Wako na Boeing pia ??Jambojet iko na ndege nyingi kushind atcl
Dah.....Tulia....kunywa Maji Mengi baridi....pumzika vya kutosha....kisha urudi kusoma Uzi upya...Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Hivi zanzibar ni tanzaniaBravo my beloved country TANZANIA
Bravo Air TANZANIA
THE WING OF KILIMANJARO, NGORONGORO, SERENGETI AND ZANZIBAR.
Hivi zanzibar ni tanzania
Biashara ya ndege sio kama duka. Africa ni mashirika mawili tu ya ndege yanayotengeneza faida kwa sasa. Hiyo ni Ethiopia na Mauritius airwaysHadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!
Kwani Zanzibar ni Tanganyika ?? Hope swali lako limejibiwa.Hivi zanzibar ni tanzania
Ushirikina upo mzee usikataeAir Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Nenda kalime mkuu, mbona ardhi huko kusini ipo sana!Aiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho
Acha kulima uEndelea kusubiri Magufuli akakulimie Ikulu akuletee unga nyumbani kwakoHadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!
Hadi hivi sasa kila mwaka Atcl inahesabu hasara lakini zinachotwa pesa kuongeza midege huku Watanzania wakiambiwa wafe tu kwa njaa hakuna chakula cha bure!
Jambojet wako na Boeing 737 zaidi ya moja, so Kwasasa mjo level hioHatuja ongelea jambo jet. Wako na Boeing pia ??
Maendeleo ya watu ni kwenye nchi zilizoendelea sio zetu hizi, hizi zinawekeza kwenye vitu maendeleo tutayasikia kwenye bombaAiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho
Ndo lijalo hilo!
!
Tegemeeni Kupigwa Marufuku Au Kuwekewa Masharti Magumu Kwa Mashirika Binafsi. Mbinu Za Kibiashara Ya Ushindani Hakuna
Return ya korosho ni kubwa na endelevu kuliko ndege,waulize wavietnam watakuambia,ndege ni kupeleka hela nje korosho ni kuingiza hela kwenye mzunguko wa ndaniIli iweje korôsho. Unajua return yakiuchumi kwenye hizi ndege.
Jambojet wako na Boeing 737 zaidi ya moja, so Kwasasa mjo level hioView attachment 758271View attachment 758272View attachment 758273
Return ya korosho ni kubwa na endelevu kuliko ndege,waulize wavietnam watakuambia,ndege ni kupeleka hela nje korosho ni kuingiza hela kwenye mzunguko wa ndani